MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Hata ile Drone ilio watandika wale wanajeshi watatu wakafa imetoka Iran, sasa unataka ushahidi gani tena?
Narudia
Ushahidi ukipatikana kwamba Iran kafanya yeye mbona huyo kubwa la magaidi ya dini yenu atafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kinachotendeka sasa hivi ni kupiga chochote chenye maslahi ya Iran huko nje maana Iran ilishasema maslahi yake yakiguswa huko nje itafanya kitu, sasa inatafutwa ifanye kitu ili ushahidi wa Iran kuhusika moja kwa moja upatikane.