profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
inatisha sanaSisi karne hii ya 21 bado tunahangaika na madarasa na madawati.Tupo nyuma ya muda kweli kweli.
Dunia hii ya ajabu sana. Kama vile ilivyo kuwa dawa ya Moto Mara nyingi ni Maji. Vile vile kila kitu kina mpinzani wake. Kuna zaidi ya aina 10 za Teknolojia za kuzuia Drones.... Israel na USA pamoja na Mchina wape Miezi 2-3 tu watakuwa wamegundua jinsi ya kuzidhibiti hizi Gaza Drones.Unaweza kuta muda huu tayari kuna kikosi kazi kimeshaundwa na wameshapewa deadline kuzifuatilia na waje na Mwarobaini wake.Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita.
Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea umbali wa km 2000,na kuruka futi 35000 toka usawa wa bahari.
Jambo hili limemuuzi sana USA na kuilaumu Qatary kwa kurusu Iran kuonyesha zana vita.
Mataifa mengi yame vutiwa na drone, GAZA, kwa uwezo wake.
View attachment 2944506
unayoongea ni kweli kiongozi,ila zana za kivita hazipimwi ubora kwenye makaratasi au magazeti,mpaka ziende field,yaani uwanja wa mapambano na zithibitishe,mfano mitambo ya kutungua makonmbora na ndege,ya USA ilifeli huko saudia,wahouthi wenye tecnologia duni,drone zao zilikwepa hiyo mitambo na kulipua mitambo ya mafuta,pia huko ukraine inalipuliwa kila leo,Dunia hii ya ajabu sana. Kama vile ilivyo kuwa dawa ya Moto Mara nyingi ni Maji. Vile vile kila kitu kina mpinzani wake. Kuna zaidi ya aina 10 za Teknolojia za kuzuia Drones.... Israel na USA pamoja na Mchina wape Miezi 2-3 tu watakuwa wamegundua jinsi ya kuzidhibiti hizi Gaza Drones.Unaweza kuta muda huu tayari kuna kikosi kazi kimeshaundwa na wameshapewa deadline kuzifuatilia na waje na Mwarobaini wake.
Israel wakati Warabu wanawashambulia na Ndege za Mig 21 toka Urusi. Waliunda kikosi kazi ....japo walipoteza uhai wa mashushushu wao na pesa... walifanikiwa kuiba Ndege moja toka Iraq. Kilichofuata baada ya hapo Warabu awataki kukumbuka yaliyowakuta.
Pumbavu weweIran idhibitiwe kabla haijatengeneza sihala za akitomiki Serikali yoyote ya Kidini ni hatari kuwa na Silaha hizo kwasababu inaweza kushikwa na Extremists ikawa ni Balaa..
Hujajibu hoja yangu ulichofanya ni ushabiki ushabiki tu.Pumbavu wewe
Na mwakani wajukuu wa ayatollah tunazindua Bomu la Atomic Urusi wametupa ahadi za kutransfere Tech yao
Unataka nani atuzuie ndg?Hujajibu hoja yangu ulichofanya ni ushabiki ushabiki tu.
Iron dome ina madhaifu mengi kuliko udhaniavyo.unayoongea ni kweli kiongozi,ila zana za kivita hazipimwi ubora kwenye makaratasi au magazeti,mpaka ziende field,yaani uwanja wa mapambano na zithibitishe,mfano mitambo ya kutungua makonmbora na ndege,ya USA ilifeli huko saudia,wahouthi wenye tecnologia duni,drone zao zilikwepa hiyo mitambo na kulipua mitambo ya mafuta,pia huko ukraine inalipuliwa kila leo,
Lakini,, iron dome ,,ya israel imethibitisha ubora wake,na ,,S,, series ya Russia iko vizuri.
Mimi naongelea hatari ya Makundi yenye msimamo mkali yakihodhi Silaha za Atomiki yanaweza kutaka kurudisha Dola ya Safavids.Unataka nani atuzuie ndg?
Tupo kwenye hatua za mwisho kumiliki silaha hiyo kwa msaada wa wataalam kutoka Urusi
Sisi tunawauzia Drone za Bei kitonga, missile za Bei ya nyanya amchakaze Shoga Zilezky
Hizi Gaza zinasemekana kuwa nzuri kuliko zile drone zilizopelekwa Russia kutumika dhidi ya Ukraine.Dunia hii ya ajabu sana. Kama vile ilivyo kuwa dawa ya Moto Mara nyingi ni Maji. Vile vile kila kitu kina mpinzani wake. Kuna zaidi ya aina 10 za Teknolojia za kuzuia Drones.... Israel na USA pamoja na Mchina wape Miezi 2-3 tu watakuwa wamegundua jinsi ya kuzidhibiti hizi Gaza Drones.Unaweza kuta muda huu tayari kuna kikosi kazi kimeshaundwa na wameshapewa deadline kuzifuatilia na waje na Mwarobaini wake.
Israel wakati Warabu wanawashambulia na Ndege za Mig 21 toka Urusi. Waliunda kikosi kazi ....japo walipoteza uhai wa mashushushu wao na pesa... walifanikiwa kuiba Ndege moja toka Iraq. Kilichofuata baada ya hapo Warabu awataki kukumbuka yaliyowakuta.
Kuna kundi Hatari Duniani zaidi ya magaidi wa Marekani??Mimi naongelea hatari ya Makundi yenye msimamo mkali yakihodhi Silaha za Atomiki yanaweza kutaka kurudisha Dola ya Safavids.
Huijui Iran wewe.Iran idhibitiwe kabla haijatengeneza sihala za akitomiki Serikali yoyote ya Kidini ni hatari kuwa na Silaha hizo kwasababu inaweza kushikwa na Extremists ikawa ni Balaa..
Hakuna mwenye akili hizo kwasasa.Mimi naongelea hatari ya Makundi yenye msimamo mkali yakihodhi Silaha za Atomiki yanaweza kutaka kurudisha Dola ya Safavids.
Iran katengeneza magrupu ya mengi ya kigaidi kuanzia Iraqi Syria hadi Yemen anatangaza Idiolojia yake ya Kishia.Huijui Iran wewe.
Iran ndio muokozi wa mataifa mengi pale Mashariki ya kati ambayo yameonewa na USA kisa USA anataka maslahi yake.