Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

Aisee Russia ametoa msaada wa silaha tu ila Iran katoa mpaka jeshi.
Qassem Soleiman akiwa kamanda mkuu pale Syria askari wa Iran walipigana.
Hivyo ukitizama Iran ina mchango mkubwa kuliko Russia.
Russia alitumia air force kwa kiasi kikubwa
 
Back
Top Bottom