Umeniuliza ni Nchi gani ya Kiarabu imevamia Nchi nyingine ambayo sio ya Kiarabu nikakuambia IRAQ Nchi ya Kiarabu iliivamia IRAN Nchi ambayo sio ya Kiarabu.
Mimi sijazoea kubishana nakupa Facts halafu unakuja kuhamisha Goal Post.
Sijahamisha goal post, the fact that umepata tu nchi moja ya kiarabu ndani ya miaka 44 iliovamia nchi ambayo sio ya kiarabu ni proof kwamba Nchi za Kiarabu sio wagomvi na hawatumii nguvu.
Kwa Kila vita moja ambayo waarabu wameanzisha wazungu wanaanzisha vita 100 ama elfu moja huoni ni uzezeta kutetea ambao wanaanzisha vita kila siku kwamba ni salama wao kuwa na silaha kali?
Hao unaona ni sawa kuwa na Nyuklia ndio wameleta vita vya kwanza vya dunia, walileta vita vya pili vya Dunia, wakapiga Nyuklia Japan, wakachakaza North Korea hadi leo hailimiki, wakaenda Vietnam kuharibi, wakaenda Libya, Iraq, Afghanistan, Ukraine, Yugoslavia, Somalia na maeneo kibao.
Hebu niambie hao wachafuzi wa Dunia na watu wenye Damu za Mamia ya Mamilioni ya watu ni wema na wanafaa kuwa na Nyuklia na Waarabu wa watu wasio na time na yoyote wao ni wabaya.
Sasa hivi tupo kwenye Tension ya Nyuklia baina ya Urusi na Usa hakuna Mwarabu anaehusika, IL ni hao hao waume zako ndio wanataka kutuchafulia dunia, ila huwezi liona hili sababu mioyo imeshakuwa nyeusi mbaya yote ni ya Waarabu na waisilamu.