Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

Mkuu huko toka na usibishane nae kuhusu hayo,uislam haujatufundisha kuikashifu dini pinzani.
Usifanye kitu ukafanana na dini yao ya kinaswara.
Turudi tu katika mada husika ila ukweli unajulikana.
Shukrani Kwa nasahau nzuri kaka
 
Tuje Qur'an 9:5
Waliozungumziwa ni polytheists je Mkristu ni polytheist???
Na pia hii ayah inaelezea wale Waabudu masanam wa Makkah waliokua wametangaza vita na uongozi wa uislam Madinah.

View attachment 2947284
Hizi ni sarakasi tuu, Mtu ambaye haamini katika "Lailaha Ilalaah Mohamad RasuluAllah" ni "Kafiri" unbeliever acha kuquote Kiarabu na kutafsiri Kiingereza ili kupoteza Maboya Watu.
 
Hakuna contradiction yoyote ila Qur'an
41-scExggrL.jpg

Soma hicho kitabu👆

Acheni kuwadanganya Waumini kwamba Qurani imeshushwa Qurani haijashushwa ina Waandishi wake na ni Binadamu ndio maana wamefanya Makosa.

Ni wakati wa kuamka sasa na kuacha Extremism kukaa na Dini nyingine bila kujiona kuwa ninyi ni Superior.
 
Ni Pakistan pekee ndio ilisaidiwa na China hizo zingine hazina silaha za Kiatomiki.

Na upande wa Waarabu ndio hatari kabisa.
No research no right to speak mkuu, umejawa na chuki ambayo ina cloud judgment yako.

Mara ya mwisho kuona taifa la kiarabu likivamia taifa jengine ambalo sio la kiarabu ni lini? What about wazungu ambao wanaua watu in millions?

Ufaransa alikua ana test makombora yake ya Nyuklia jiji la Algeria, Dunia umeufyata ila waarabu ndio hatari sana sio, ambao hawana time na taifa lolote lile duniani.
 
Hizi ni sarakasi tuu, Mtu ambaye haamini katika "Lailaha Ilalaah Mohamad RasuluAllah" ni "Kafiri" unbeliever acha kuquote Kiarabu na kutafsiri Kiingereza ili kupoteza Maboya Watu.
Ukitaka kujiona kaka wewe ndio mtu wa sarakasi.
Umeleta maneno ambayo sio taarifa sahihi na ukayabwaga sijui umeyatoa google huko.
Mie nimekuletea Qur'an yenyewe na tafsiri zake unazipinga.
Utakua punguani akilini,Qur'an sio zile hadithi za Hutu and tutsi unazozikazania.

Baki na unachokiamini.
 
View attachment 2947329
Soma hicho kitabu👆

Acheni kuwadanganya Waumini kwamba Qurani imeshushwa Qurani haijashushwa ina Waandishi wake na ni Binadamu ndio maana wamefanya Makosa.

Ni wakati wa kuamka sasa na kuacha Extremism kukaa na Dini nyingine bila kujiona kuwa ninyi ni Superior.
KWahiyo kisa huyo Yahya Zulkifli kasema Qur'an ina contradiction basi watu tuamini??
Kwanini tumuamini yeye??
Kama Qur'an imetungwa mbona hakuna mfanano na Qur'an??
Mathalan vitabu vya syllabus utakuta watunzi wanashabihiana mfano Abantu publishers na TIE publishers mada zinafanana na wapo wanaotoa vitabu vya mfanano huo.
Je kama Qur'an imetungwa mbona hakuna new edition ya Qur'an??

Narudia tena huna la maana unalolijua wewe kaa shadadia Hutu and tutsi na Banyamulenge ndiyo mambo unayoyaweza,Qur'an sio banyamulenge unayoshabikia.
Mie msomi na nimeisoma hiyo Qur'an sijaona contradictions wewe ni nani ulazimishe hoja hiyo kisa eti kuna mpuuzi anaitwa zulkifli kasema??

Case closed nimefunga mjadala.
Ukiuleta naku ignore.
 
Ukitaka kujiona kaka wewe ndio mtu wa sarakasi.
Tatizo wewe umekaririshwa tokea udogoni tokea unazaliwa unaadhiniwa masikioni kwahiyo chochote nitakacho kuelezea utapinga tu.

Na sio wewe peke yako nimeona Waumini wengi wa Allah kuwa ni Wabishi sana lakini ukweli uko bayana fanya uutafute tu.
 
No research no right to speak mkuu, umejawa na chuki ambayo ina cloud judgment yako.

Mara ya mwisho kuona taifa la kiarabu likivamia taifa jengine ambalo sio la kiarabu ni lini? What about wazungu ambao wanaua watu in millions?

Ufaransa alikua ana test makombora yake ya Nyuklia jiji la Algeria, Dunia umeufyata ila waarabu ndio hatari sana sio, ambao hawana time na taifa lolote lile duniani.
Mkuu utapoteza energy sana.
Unaeendesha nae mjadala haleti ushahidi bali anaongea mihemko.
Ukimtoa France USA amefanya majaribio ya biological weapons na atomic weapons visiwa vya Marshall island/Bikini.
Ila hakuna aliyepiga kelele.
Halafu mtu anakuja kuleta reference ya Iraq kuivamia Iran.
Hivi vitu vina uwiano kweli??
Kazi unayo hapo.
 
Tatizo wewe umekaririshwa tokea udogoni tokea unazaliwa unaadhiniwa masikioni kwahiyo chochote nitakacho kuelezea utapinga tu.

Na sio wewe peke yako nimeona Waumini wengi wa Allah kuwa ni Wabishi sana lakini ukweli uko bayana fanya uutafute tu.
Huna fact nimekuletea mpaka maelezo ila wewe unaongea mihemko isiyo na ushahidi.
Unadhani wewe wakwanza kuniletea jarida la hiko kitabu cha huyo Zulkifli??

Tutoke huko twende kwenye mada husika ya Iran.
 
Narudia tena huna la maana unalolijua wewe kaa shadadia Hutu and tutsi na Banyamulenge ndiyo mambo unayoyaweza,Qur'an sio banyamulenge unayoshabikia.
Mimi kwenye Mada zote wewe nisome huwa nakaa kwenye UKWELI FACTS iwe kwenye Dini iwe kwenye mambo mengine ya Kijamii.

Mimi sina Dini ila nakubali uwepo wa Mungu/Miungu.

Nichukie/Nipende niloge au Nisimange ila mimi ni yule yule Imhotep Msema ukweli ambae ni kipenzi cha Mungu/Miungu.
 
Huna fact nimekuletea mpaka maelezo ila wewe unaongea mihemko
Nimekuwekea Facts ukabadilisha ID ukaja na Mjadala mwingine na kujisapoti lakini mimi nawaachia Wasomaji wao ndio watakaoamua.

Wabilahi Tawfiq
 
Mimi kwenye Mada zote wewe nisome huwa nakaa kwenye UKWELI FACTS iwe kwenye Dini iwe kwenye mambo mengine ya Kijamii.

Mimi sina Dini ila nakubali uwepo wa Mungu/Miungu.

Nichukie/Nipende niloge au Nisimange ila mimi ni yule yule Imhotep Msema ukweli ambae ni kipenzi cha Mungu/Miungu.
Shida unajiona uko sahihi katika kila kitu.
Sina sababu ya kukuchukia maana hakuna athari chanya wala hasi eidha nikupende au nikuchukie.

Baki na imani zako na sisi tuache na imani zetu.
 
Nimekuwekea Facts ukabadilisha ID ukaja na Mjadala mwingine na kujisapoti lakini mimi nawaachia Wasomaji wao ndio watakaoamua.

Wabilahi Tawfiq
Astaghafirullah!!!!
Nina ID moja ya KOSUGI huwa sina ID tofauti na hiyo.
Kama umeshindwa mjadala uishe sio kuleta visingizio.

Uwe na jioni njema
Stick katika mada acha udini.
 
Back
Top Bottom