Unaweza ukaleta uthibitisho wa uislam kulewa na dini yao??Sisi hatuwezi kulipuana Mabomu kwasababu ya matumizi ya Mkundu wa mtu, huo ni ujinga.
Allah nae anazidi kuzibariki Nchi zenye kufirana kazipa uongozi wa Dunia.
Vita zinazotokea kote Mashariki ya kati hivi unajua kama mfadhili ni USA??
Unajua kama USA waliifadhili Taliban na Mujaheddin kuivunja USSR??
USA ilitumia atomic bomb vita ya pili ya dunia sio hivyo tu KAFUATILIE VISIWA VYA MARSHALL ISLANDS KUNAKOPATIKANIKA BIKINI ISLANDS USA amefanyia watu majaribio ya biological weapons na kule ndiko alikokua akijaribia atomic weapons mpaka sasa watu wanazaliwa ngozi hazieleweki hiko kisiwa.
Hii dunia kama sio maslahi ya wazungu ambao ndio hao wakristo wenzako basi dunia ingelikua salama sana.
Waarabu wanaishi maisha ya kuridhika sana ila USA amewatibulia aina hiyo ya maisha na kuwalazimisha wawe hivi walivyo ili wafanye retaliation.
-Crusade war.
-World war 1.
-World war 2.
-Berlin conference for African partition.
-The great slave trade/Triangular/Trans Atlantic slave trade.
-Massive genocides during colonial eras e.g Germany performing genocide in her African territories.
-Regime change in Egypt,Libya,Iraq,Yemen(failed),Syria(failed),Cuba(failed),Venezuela(failed),Haiti.
Haya yote kuna muislam anahusika?
Nadhani unaelewa madhara ya regime change alizotaka kufanya USA katika mataifa mbali mbali na athari alizoleta yeye na Allies wake Western Imperialists.
JE KUNA MUISLAM KAHUSIKA??
Usisahau bokoharam pia wanafadhiliwa na Westerners hasa France.
Pia machafuko Mali na Burkinafaso France ndiye aliyekua mfadhili wamemtimua amani imeanza kurudi.
Usisahau Madagascar France ndiye aliyefanya Regime change ya kumuondoa Ravalo Manana na kumuweka Andy Rajoelina.
Pia misaada ya Westerners na USA ndio inaongoza kubana severeignty ya mataifa ya watu huku yakiwa na masharti magumu kandamizi.
Nadhani hata wewe ni shuhuda pale kipindi cha David Cameron tulivyolazimishwa turasimishe ushoga na uasherati.
NIAMBIE WAISLAM WANAHUSIKA WAPI KATIKA HAYA MAJANGA??