🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
Propaganda, mbona meli zinapigwa zikipita Hormuz🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
Mbona bado sana? Taliban walikuwa na jeshi la anga au la maji? Au Vietnam? Hii ni vita ambayo hawawezi kushinda.🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
Hii ni nzuriTatizo wamarekani hawawezi kuvumilia vita ya muda mrefu, wapiga kura hawataki hayo mambo.
Epic furry is doomed frol the start.
Unayasema haya as if wewe ndio Chief Minister of Security Defense wa Marekani kumbe someone with no hope ambae alijibanza sehemu siku ile ya October 29 kutoka Kimara BonyokwaView attachment 3556799
Tukubali ukweli tu hii vita marekani kachemsha yaani kapigwa sana aise leo siku ya tatu mashambulizi ya marekani ndani ya iran yamepungua sana inasemekana rada za kuongoza ndege nyingi zimepigwa mifumo ya ulinzi imechakazwa mbaya mpaka marekani kaenda kubeba mifumo ya ulinzi ya korea kusini
Huku iran ikisema hii vita wao ndio wa kuimaliza.
Nimebaki najiuliza tu hivi marekani anaweza simama na mchina hata siku tatu kweli!!?
Kwa hio unataka kusemaje Fundi Mchundo Iran watashinda vita wana huo ubavu?Mbona bado sana? Taliban walikuwa na jeshi la anga au la maji? Au Vietnam? Hii ni vita ambayo hawawezi kushinda.
Amandla...
Sasa unawashauri nini wanaopenda vita ndugu mwandishi?Hii mijadala ya kisengge kweli vita imekuwa kama ushabiki wa mpira. Uhai wa mwanadamu thamani yake haipimiki.
Mambo yetu ya ndani hapa TZ maji yako shingoni ccm wanatupiga mbele nyuma, bado mnahangaika kushabikia mauaji huko uajemi
Waliwezaje kuweka mabomu ndani ya strait kama hawana navy? Or rather kwanini Meli za USA zisisindize mafuta maana si hakuna tena cha Navy?? Wanaogopa nini?Hawana Jeshi la Wanamaji.
Iran hapigani peke yake nyuma ana supporters wengi km ingekua Iran anapiga peke yake bila msaada ya nchi zingine hii vita ni asubuhi sana ingekua imeisha ni sawa na Ukraine mbele ya Russia ukimuondoa Marekani na NATO asubuhi sana Ukraine kachakazwa, nyuma ya Iran kuna Russia, Syria, North Korea na China kwa hio usikae tu ukasema Iran kafanya hivi au kafanya vile nyuma ya Iran kuna makundi mengine mengi kutoka Nchi tofauti km vile Pakistan, Iraq, Lebanon hayo makundi yote yanapigana pamoja na Iran, sasa nashangaa watu wanapokaa kusema Iran ndio inapigana Iran haipo peke yake ingekua peke yake vita ingekua ishamalizika kitambo sanaNa huu ugomvi hauji kuisha kamwe,marekani wamekosea sana kuanzisha ugomvi ambao hauna sababu za maana.israel mpaka Dunia inaisha takua anarushiwa makombora tu.Sawa Leo Iran itamalizwa nguvu lakini watarudi viwandani kutengeneza silaha zingine sababu kinachoteketezwa ni silaha na viwanda sio akili na ujuzi waliokua nayo wairan,so watafua vingine tu na uhasama ndo umeongezeka zaidi