zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Why? Unaombea genocidaires?I stand and i pray foi Israel.
Why? Unaombea genocidaires?I stand and i pray foi Israel.
Vita kubwa watashinda hata kama itawachukua miaka 50. Hii ya sasa Marekani na Israel watajitangaza washindi. Bush alijitangaza mshindi wa vita ya Iraq lakini matokeo yake ikaibuka ISIS. Hivyo hivyo Gaza ns Lebanon. Baada ya mabomu yote ya Israel Hezbollah na Hamas bado wapo. Afghanistan hivyo hivyo. Iliwachuwa miaka zaidi ya 20 lakini Taliban wameichukua tena nchi yao. Trump atajitangaza mshindi, ataweka kibaraka wake lakini iko siku ataondoka tu. Hii sio mara ya kwanza kutokea Iran. Marekani walimuweka Shah kwa nguvu lakini mazao yake ni hawa ma Ayatollah. Vita sio reality TV au video game. Historia imetufundisha hilo.Kwa hio unataka kusemaje Fundi Mchundo Iran watashinda vita wana huo ubavu?
Sasa wanawezaje kuendelea kushambulia targets bila mifumo ya anga? Yaani urushe bomu la masafa marefu bila coordination za mawasiliano? Hizo drones zinakua operated kutokea wapi maana kama wanatawala kila kitu wangeshalipua missioe launchers zote!!Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Sio kweli, hao Russia na China ni theoretical tu ila tumeshuhudia physically kabisa Nchi zaidi ya 10 zikichangia kumtandika Iran.Iran hapigani peke yake nyuma ana supporters wengi km ingekua Iran anapiga peke yake bila msaada ya nchi zingine hii vita ni asubuhi sana ingekua imeisha ni sawa na Ukraine mbele ya Russia ukimuondoa Marekani na NATO asubuhi sana Ukraine kachakazwa, nyuma ya Iran kuna Russia, Syria, North Korea na China kwa hio usikae tu ukasema Iran kafanya hivi au kafanya vile nyuma ya Iran kuna makundi mengine mengi kutoka Nchi tofauti km vile Pakistan, Iraq, Lebanon hayo makundi yote yanapigana pamoja na Iran, sasa nashangaa watu wanapokaa kusema Iran ndio inapigana Iran haipo peke yake ingekua peke yake vita ingekua ishamalizika kitambo sana
Nyuma ya Iran kuna wengi zaidi ya hao wanaompiga ndio ipo hivyo hayupo peke yake elewa kitu hapo ni pande mbili zenye muunganiko wa watu sasa wewe unaonyeshwa kiini macho sababu anazungumziwa Iran tu ukajua Iran anapigana peke yake, ingekua hivyo asubuhi sana vita imeishaSio kweli, hao Russia na China ni theoretical tu ila tumeshuhudia physically kabisa Nchi zaidi ya 10 zikichangia kumtandika Iran.
Unadhani Israel angekua anachangiwa na mataifa 10 angetoboa? Tena NATO?
Imagine UK, US, France, Turkey, Romania, Germany, Saudia, Jordan, Qatar etc yaani almost 13 nations are directly battering Iran and intercepting its rockets!!
Iran is resilient sio kidogo, Israel ingeshacollapse.
Technically & Strategically Iran ameshinda vita, kilicho Baki saivi USA & Israel ni civilian targeting...Unayasema haya as if wewe ndio Chief Minister of Security Defense wa Marekani kumbe someone with no hope ambae alijibanza sehemu siku ile ya October 29 kutoka Kimara Bonyokwa
Sorry Bro. Can you mention them?Nyuma ya Iran kuna wengi zaidi ya hao wanaompiga ndio ipo hivyo hayupo peke yake elewa kitu hapo ni pande mbili zenye muunganiko wa watu sasa wewe unaonyeshwa kiini macho sababu anazungumziwa Iran tu ukajua Iran anapigana peke yake, ingekua hivyo asubuhi sana vita imeisha
Marekani ndiyo zao wakishibdwa vita, watakuja na propaganda za ajabu sana.Vita kubwa watashinda hata kama itawachukua miaka 50. Hii ya sasa Marekani na Israel watajitangaza washindi. Bush alijitangaza mshindi wa vita ya Iraq lakini matokeo yake ikaibuka ISIS. Hivyo hivyo Gaza ns Lebanon. Baada ya mabomu yote ya Israel Hezbollah na Hamas bado wapo. Afghanistan hivyo hivyo. Iliwachuwa miaka zaidi ya 20 lakini Taliban wameichukua tena nchi yao. Trump atajitangaza mshindi, ataweka kibaraka wake lakini iko siku ataondoka tu. Hii sio mara ya kwanza kutokea Iran. Marekani walimuweka Shah kwa nguvu lakini mazao yake ni hawa ma Ayatollah. Vita sio reality TV au video game. Historia imetufundisha hilo.
Amandla...
HII POINT KUBWA SANA, HATA HARAKATI ZIMESHAPUNGUA KABISAHii mijadala ya kisengge kweli vita imekuwa kama ushabiki wa mpira. Uhai wa mwanadamu thamani yake haipimiki.
Mambo yetu ya ndani hapa TZ maji yako shingoni ccm wanatupiga mbele nyuma, bado mnahangaika kushabikia mauaji huko uajemi
Leta ushahidi maana madai yangu yana ushahidi wa open source kabisa sio conspiracy!!Nyuma ya Iran kuna wengi zaidi ya hao wanaompiga ndio ipo hivyo hayupo peke yake elewa kitu hapo ni pande mbili zenye muunganiko wa watu sasa wewe unaonyeshwa kiini macho sababu anazungumziwa Iran tu ukajua Iran anapigana peke yake, ingekua hivyo asubuhi sana vita imeisha
Hawezi kushinda unless apeleke wanajeshi wa ardhini na itakua vita kama ya Syria iliyochukua miaka na vifo vingi!! Wataishia kujitoa tu kama Afghan au VietnamKushinda atashinda.
Lakini utakuwa ushindi wa gharama kubwa Sana. Ndicho Iran anafanya
Israel ingepigana na nchi 13+ zikiwemo za NATO ingekua bado ipo hadi leo?Israel anawachakaza vizuri sana
Hawezi kushinda unless apeleke wanajeshi wa ardhini na itakua vita kama ya Syria iliyochukua miaka na vifo vingi!! Wataishia kujitoa tu kama Afghan au Vietnam
Hatari nyingine ni asymmetrical warfare. Sio hii ya missiles, drones, submarines, ndege n.k. Tumeona majaribio ya kushambulia balozi. Tunaweza kuona watu wakijilipua, wakishambulia mikusanyiko ya watu, biashara n.k. Iran ina sympathizers kila mahali. Ingawa utawala wa ma Ayatollah ulikuwa wa kinyama lakini ulikubalika na raia wengi. Watatusumbua sana hata ambao hatuhusiki.Marekani ndiyo zao wakishibdwa vita, watakuja na propaganda za ajabu sana.
Ila tuwe wakweli Marekani hawezi kufanya regime change hapo.. it's very difficult ni kama ndoto but will never happen
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
Jamaa wameleta competition kweli.. na hapa Iran hawezi kuacha kutumia hii mbinu asymmetric warfare... mara nyingi lengo lake ni kufanya vita iwe ndefu, ghali, na yenye presha kubwa kwa adui.Hatari nyingine ni asymmetrical warfare. Sio hii ya missiles, drones, submarines, ndege n.k. Tumeona majaribio ya kushambulia balozi. Tunaweza kuona watu wakijilipua, wakishambulia mikusanyiko ya watu, biashara n.k. Iran ina sympathizers kila mahali. Ingawa utawala wa ma Ayatollah ulikuwa wa kinyama lakini ulikubalika na raia wengi. Watatusumbua sana hata ambao hatuhusiki.
Amandla...
Hilo bumunda nililipa hii taarifa likaipinga seems ana matatizo ya AkiliView attachment 3556799
Tukubali ukweli tu hii vita marekani kachemsha yaani kapigwa sana aise leo siku ya tatu mashambulizi ya marekani ndani ya iran yamepungua sana inasemekana rada za kuongoza ndege nyingi zimepigwa mifumo ya ulinzi imechakazwa mbaya mpaka marekani kaenda kubeba mifumo ya ulinzi ya korea kusini
Huku iran ikisema hii vita wao ndio wa kuimaliza.
Nimebaki najiuliza tu hivi marekani anaweza simama na mchina hata siku tatu kweli!!?