Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Leta ushahidi maana madai yangu yana ushahidi wa open source kabisa sio conspiracy!!

Iran haisaidiwi na nchi yeyote. Walau ungesema Hezbollah, Hamas, PMZ na Houthi ambao basically ni vikundi vya wapiganaji sio majeshi kabisa yenye structure ya kueleweka au kuwa na uwezo hata wa kutoa ndege au silaha!!

China na Russia ni intelligence tu sio active war. Kuhusu kupigwa kwa siku moja hilo sahau, Iran inajitosheleza na nature tu ya milima yake hata upige mabomu kila siku hautowahi maliza silaha zote au mahandaki ya milimani!!

Na hata ikivamiwa, ina wakazi 100 Million na ina majeshi matatu IAF, IRGC na Basij militia hapo bado hawajaleta askari wa PMZ au Houthi kuongeza nguvu!!
Jamaa analeta story za vijiweni...!

Hizo western Countries tunaona kabsa zikipeleka naval ships, Juzi tumeona Ukraine ametoa msaada wa drones.

Hao Russia ,China , Korea.. mbona hatuoni au kusikia wametuma vifaa vya kijeshi Iran? Au yeye source yake ni ipi ya habari.
 
Makubazi mnajifurahisha Sana siku hizi hasa baada ya kujua kut
umia AI iliyotengenezwa na muizrael ndio mnachafua mitandao kwa picha na video za kusadikika
 
Vita kubwa watashinda hata kama itawachukua miaka 50. Hii ya sasa Marekani na Israel watajitangaza washindi. Bush alijitangaza mshindi wa vita ya Iraq lakini matokeo yake ikaibuka ISIS. Hivyo hivyo Gaza ns Lebanon. Baada ya mabomu yote ya Israel Hezbollah na Hamas bado wapo. Afghanistan hivyo hivyo. Iliwachuwa miaka zaidi ya 20 lakini Taliban wameichukua tena nchi yao. Trump atajitangaza mshindi, ataweka kibaraka wake lakini iko siku ataondoka tu. Hii sio mara ya kwanza kutokea Iran. Marekani walimuweka Shah kwa nguvu lakini mazao yake ni hawa ma Ayatollah. Vita sio reality TV au video game. Historia imetufundisha hilo.

Amandla...
Hawawezi kushinda vita wanashindaje vita wakati malengo Yao ya vita hayajatimia bad enough Israel anachapwa Kila kukicha USA base zake zimebondwa mpaka kakimbia middle east , Washirika wa USA pale middle east wote wamechezea mkong'oto and now wanaishi Kwa hofu kubwa USA kashindwa kuwalinda ,

So hiyo vita USA kashindaje wakati mpaka Sasa kupitisha meli tu Hormuz anaogopa amekuwa kama mwanamke Malaya Kila wakati lopo lopo tu kama shangingi la kizaramo , so huo ushindi wame upata vipi !?
 
Iran hapigani peke yake nyuma ana supporters wengi km ingekua Iran anapiga peke yake bila msaada ya nchi zingine hii vita ni asubuhi sana ingekua imeisha ni sawa na Ukraine mbele ya Russia ukimuondoa Marekani na NATO asubuhi sana Ukraine kachakazwa, nyuma ya Iran kuna Russia, Syria, North Korea na China kwa hio usikae tu ukasema Iran kafanya hivi au kafanya vile nyuma ya Iran kuna makundi mengine mengi kutoka Nchi tofauti km vile Pakistan, Iraq, Lebanon hayo makundi yote yanapigana pamoja na Iran, sasa nashangaa watu wanapokaa kusema Iran ndio inapigana Iran haipo peke yake ingekua peke yake vita ingekua ishamalizika kitambo sana
Uongo sio kweli Iran ni one man standing show
 
Tatizo wamarekani hawawezi kuvumilia vita ya muda mrefu, wapiga kura hawataki hayo mambo.

Epic furry is doomed from the start.
We wafkirie hao Wamarekani ni wajinga linapofikia hatua ya Taifa lao kuisupport Israel dhidi ya ugaidi wa kishenzi wa Iran.
 
View attachment 3556799
Tukubali ukweli tu hii vita marekani kachemsha yaani kapigwa sana aise leo siku ya tatu mashambulizi ya marekani ndani ya iran yamepungua sana inasemekana rada za kuongoza ndege nyingi zimepigwa mifumo ya ulinzi imechakazwa mbaya mpaka marekani kaenda kubeba mifumo ya ulinzi ya korea kusini


Huku iran ikisema hii vita wao ndio wa kuimaliza.

Nimebaki najiuliza tu hivi marekani anaweza simama na mchina hata siku tatu kweli!!?
mkuu una umejaribu kuwaza kwa kina ila sio ndiyo uhalisia huo,chanzo chako hakipo makini
 
Kushinda atashinda.
Lakini utakuwa ushindi wa gharama kubwa Sana. Ndicho Iran anafanya
Hakuna ushindi anaoweza kukupata labda ashinde njaa ,

Sisi tuna angalia malengo Yao waliyo kuja nayo awali katika hiyo vita walisema wanataka kufanya regime of change , till now wanahaha Tena mhaho wa hali ya juu , wamepigwa vibaya Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia base za USA zikipewa mkong'oto kama vile ni base za kanchi kadogo kasicho kuwa na power kama Haiti Majengo ya balozi zake yamelipuliwa Kwa mara ya kwanza tumeona ameshindwa kuwalinda washirika wake tuka middle east wamepigwa missile na drones za kutosha na Iran

So hiyo vita anashindaje !? Amesha fanya regime of change !? No .
Je wamesha shirikishwa na Iran katika kuchagua kiongozi mpya wa Iran !? No
Je wamesha pitisha meli zao Hormuz!? No

So Hiyo vita wanashindaje bila malengo waliyo tuambia kuwa wanayo Bila kutimia ???
 
Kushinda atashinda hilo hakuna ambaye halijui.
Mpaka sasa Marekani ipo nusu ya ushindi wake. Na hata wiki mbili hazijaisha
Wee jamaa !? 🤣🤣

Unaeweza kutueleza for fact huo ushindi alionao ni upi !? Na sio Kwa matamko Yako binafsi

Unajua malengo ya hiyo vita wakati vita inaanza USA na Israel walituambia malengo ya vita hiyo ni Nini !?
 
Hawawezi kushinda vita wanashindaje vita wakati malengo Yao ya vita hayajatimia bad enough Israel anachapwa Kila kukicha USA base zake zimebondwa mpaka kakimbia middle east , Washirika wa USA pale middle east wote wamechezea mkong'oto and now wanaishi Kwa hofu kubwa USA kashindwa kuwalinda ,

So hiyo vita USA kashindaje wakati mpaka Sasa kupitisha meli tu Hormuz anaogopa amekuwa kama mwanamke Malaya Kila wakati lopo lopo tu kama shangingi la kizaramo , so huo ushindi wame upata vipi !?
Usiamini sana AI.

Amandla...
 
Kushinda atashinda hilo hakuna ambaye halijui.
Mpaka sasa Marekani ipo nusu ya ushindi wake. Na hata wiki mbili hazijaisha
Halafu wanamchukulia poa US, mtu aliyedhibiti anga hadi navy ya Iran kwa zaidi ya 96%.

Hii awamu Iran anapumulia mashine. Na nnaamini kwa ubize huu wa Jeshi la Iran, watu watakuwa wanasukwa kwa ajili ya maandamano ya kuchukua nchi.

Hadi sasa tunaona US akishambulia hadi vituo vikuu vya jeshi la Polisi.
 
Kushinda atashinda hilo hakuna ambaye halijui.
Mpaka sasa Marekani ipo nusu ya ushindi wake. Na hata wiki mbili hazijaisha
Kamvamia Iran kuondoa uongozi wa kiislam, hilo amefeli bado ipo chini ya Ayatollah na hakuna mabadiliko ya serikali zaidi ya kuuwawa kwa Khamenei na kuwa replaced na Khamenei!!

Ushindi ilikua kung'oa utawala wa kiislam/Ayatollah/IRGC na kupandikiza uongozi mpya. HILO KAFELI so anakua ameshindwa vita.
 
Toa evidence na sio maneno tu

Mijadala isiyo na evidence ni story za vijiweni hivyo mwananyamala Kwa mama zackaria au Tandale Kwa mtogole

Lakini hapa Jf tunataka fact
In the context of the current conflict in 2026, Iran relies on a sophisticated network of state allies and non-state militant groups known as the "Axis of Resistance." This coalition is united by a shared opposition to U.S. and Israeli influence in the Middle East.
Here is a breakdown of the countries and groups actively supporting Iran:
1. State Allies (Countries)
While many countries maintain diplomatic ties with Iran, a few provide critical strategic, military, or economic support that bolsters its war effort:
* Russia: Russia is Iran's most significant strategic partner. Reports indicate that Moscow provides intelligence sharing (including the location of U.S. assets) and advanced training in drone tactics. In exchange, Iran has historically supplied Russia with loitering munitions (drones) for its own conflicts.
* China: China acts as Iran's economic lifeline. Beyond purchasing Iranian oil despite sanctions, China has been linked to the supply of missile fuel precursors and financial assistance that sustains Iran's defense industry.
* North Korea: Though geographically distant, North Korea has a long history of missile technology transfers to Iran and remains a vocal diplomatic supporter against the "U.S.-led order."
* Syria: While the Syrian government has been significantly weakened by years of civil war, it remains a vital geographic link (the "land bridge") for Iran to move weapons and personnel to Hezbollah in Lebanon.
2. The "Axis of Resistance" (Non-State Groups)
These groups are often trained, funded, and equipped by the Quds Force, the elite overseas branch of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).
| Group | Location | Role in Current Conflict |
|---|---|---|
| Hezbollah | Lebanon | Iran's most powerful proxy. They possess a massive arsenal of precision-guided missiles and have launched frequent strikes on northern Israel. |
| The Houthis | Yemen | They control the Red Sea shipping lanes and have used long-range drones and ballistic missiles to target Israel and U.S. naval vessels. |
| Islamic Resistance in Iraq | Iraq | An umbrella for groups like Kata'ib Hezbollah and Asa'ib Ahl al-Haq. They launch drone and rocket attacks on U.S. bases in Iraq and Syria. |
| Hamas | Gaza Strip | While heavily degraded by recent warfare, they remain part of the ideological alliance and continue to engage in asymmetric combat against Israeli forces. |
| Palestinian Islamic Jihad (PIJ) | Gaza/West Bank | A smaller, more radical group that is almost entirely funded by Iran and coordinates directly with the IRGC. |
3. Diplomatic & Tactical Nuance
It is important to note that support is not always "all-out."
* Russia and China have largely avoided direct military intervention, preferring to support Iran through "gray zone" activities (intelligence and trade) to avoid a direct world war with the U.S.
* Regional Neutrality: Many neighboring countries (like Saudi Arabia, Jordan, and the UAE) have officially remained neutral or even supported U.S. defensive measures, fearing that an Iranian victory or a wider war would destabilize their own economies.
 
Halafu wanamchukulia poa US, mtu aliyedhibiti anga hadi navy ya Iran kwa zaidi ya 96%.
Cuba na Vietnam hazikua na navy wala jeshi la anga!! ila USA hakushinds vita. Utawala wa Ayatollah/IRGC bado uko vile vile tofauti ni US wamemtoa khamenei na Iran kumweka Khamenei!!
Hii awamu Iran anapumulia mashine. Na nnaamini kwa ubize huu wa Jeshi la Iran,
Anapumulia mashine huku analipua sio tu majirani ila mpaka tel aviv? Anawezaje rusha ballistic missiles?
watu watakuwa wanasukwa kwa ajili ya maandamano ya kuchukua nchi.
Yeah wanaweza kuwa hawamtaki Ayatollah ila niamini hawaitaki zaidi US na Israel. Ambacho hamuelewi hata leo ma-Ayatollah wakipisha nchi bado Rais yoyote atakayechaguliwa ataipinga Israel na USA.
Hadi sasa tunaona US akishambulia hadi vituo vikuu vya jeshi la Polisi.
Yeah ashambulie tu ila hatoweza pindua serikali.
 
Back
Top Bottom