Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Ndio ina watu 93 Million na ndio nchi ya pili kwa ukubwa Middle East baada ya Saudi Arabia inafuata Iran ila hilo sio suala linalokufanya uwe na kiburi km kupigwa utapigwa tu na namba zako, U.S ina watu 349 Million na ukubwa wa Marekani kwa Iran chukua Iran 6 ndio unapata Marekani 1 kiukubwa, acha ubwege
Ignorance is bliss
 
6 days of war ya Mwaka 1967 Israel alipigana na nchi ngapi?
Sio alipigana, alivamia na kulipua maghala ya silaha kabla ya vita kuanza. Na alipigana na Egypt, Syria na Jordan ambazo. Na alipewa support na meli vita za USA so hakuwa mwenyewe

Sasa iran anapambana mwenye bila msaada wa NCHI yoyote. Israel hawezi na siku akipigana mwenyewe na Iran bila USA kuingilia basi alichofanya Hitler itaonekana ni chamtoto
 
1. Kuharibu mifumo ya kurusha makombora.
2. Kufanya Regime change (hili bado)
3. Kumuua Ayatollah Khamanei
Huyo Echolima1 anajua nini huyo si ka ma Trump na waziri wake wa nje na wa majeshi wote hawana experience ya kijeshi yule mmoja anajichora na kujiita Kafiri alidhani huo usanaa wakujichora ndio utampa ushindi.

Navy ya Iran week nzima Trump anaitangaxia dunia kaimaliza jana kapewa dawa yake


View: https://youtube.com/shorts/rvo9meEBKBQ?si=rkOMvLggzTyB5BZE
 
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:

"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?

Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.

Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.

Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.

Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz

Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."

View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61

IRGC wamekimbilia mlimani kujificha, wamekuwa kama magaidi sasa.
 
Sasa iran anapambana mwenye bila msaada wa NCHI yoyote. Israel hawezi na siku akipigana mwenyewe na Iran bila USA kuingilia basi alichofanya Hitler itaonekana ni chamtoto
Virtually yes! Anapambana mwenyewe.
Lakini Mimi Nitakuwa WA mwisho kuamini kama Iran anapambana mwenyewe Bila ya support.

Nina Imani kuna mikono ya wakubwa inatumika kusukuma kete ili kwenda mbéle against USA. USA analijua hili, na ndiyo maana kaanza ngonjera za mamma flani ili kusitisha au kukimbia mapambano.
Mpaka kufikia IRGC kusema kwamba "Vita itakoma mpaka malengo yetu yatimie", ujue kabisa kuna backup Irani wanaipata.
 
French President Macron has announced that France will be deploying eight warships, an aircraft carrier, and two helicopter carriers in the Mediterranean, Red Sea, and Strait of Hormuz against Iran, marking a major escalation in Europe's military role. This massive fleet, led by the nuclear-powered aircraft carrier Charles de Gaulle, represents one of France's largest naval mobilizations in recent decades to protect strategic interests.

The decision follows a recent drone attack on a French naval base in Abu Dhabi, which pushed Paris to abandon its initial stance of neutrality. Macron emphasized that while the mission is "purely defensive," the fleet is prepared to execute escort operations to reopen the Strait of Hormuz, where commercial traffic has reportedly dropped by 90% due to the conflict.

The inclusion of two amphibious helicopter carriers, the Tonnerre and likely the Mistral, provides the French Navy with significant "sea-to-land" capabilities and medical support units. These vessels are essential for potential evacuations of European nationals and for maintaining a persistent presence in the volatile waters of the Red Sea.

By deploying this task force, France is positioning itself as a "power for balance" in the region, independent of the U.S.-Israeli command but aligned in the goal of deterring further Iranian strikes. This move also sends a strong message of European solidarity to allies like Cyprus, which has recently faced direct threats during the escalation.

As the Charles de Gaulle strike group arrives in the Eastern Mediterranean, it brings with it a full wing of Rafale M fighter jets and advanced air-defense frigates. This deployment effectively creates a second major Western naval front, complicating Iran's strategic calculations and raising the stakes for any future maritime confrontations.

#France #Macron #MiddleEast #Geopolitics #MaritimeSecurity
 
Hawawezi vita vya muda mrefu? Check your facts again

Tatizo la mmarekani kwenye vita lipo nyumbani kwake, washington DC ,si anapopigana vita
Ndicho ninachomaanisha. Kama ilivyokuwa kwenye kuwekeana tozo na China. Wananchi wa Marekani hawataki mambo ya vita na migogoro.

Kwakuwa Marekani ni nchi ya kidemokrasia, Trump na waty wake watalazimika kufuata matakwa ya wananchi vinginevyo watagalaazwa kwenye uchaguzi.

Iran hakuna demokrasia, hata kama wanaumia wanaweza kulazimisha kurefusha hiyo vita mpaka Marekani aombe kukaa mezani.
 
We wafkirie hao Wamarekani ni wajinga linapofikia hatua ya Taifa lao kuisupport Israel dhidi ya ugaidi wa kishenzi wa Iran.
Support imepungua sana. Ndani ya Chama cha Republican tu kuna watu hawataki kusikia habari za Israel.
 
Waliwezaje kuweka mabomu ndani ya strait kama hawana navy? Or rather kwanini Meli za USA zisisindize mafuta maana si hakuna tena cha Navy?? Wanaogopa nini?


kwani Somali pirates wana Navy?.
wanachokifanya Iran ni kama hao Somali pirates tu wanatumia small fast-boats kutekeleza mashambulizi yao.
 
Kumbe? Basi raia watoke majumbani wateke kambi zote maana IRGC wamekimbia!!!
Ni kambi zipi unazozungumzia, mkuu, ilhali kila kukicha zinalipuliwa? Unawezaje kukaa katika kambi ambayo inalengwa 24/7 !?
 
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:

"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?

Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.

Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.

Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.

Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz

Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."

View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61

Trump is a pathological liar! Kama kweli Iran haina chochote kilichobaki, kwanini Israel na Marekani hawaiingizi majeshi yao humo waifurushe repressive regime ya Ayatollah Khamenei?
 
Back
Top Bottom