Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Ni kambi zipi unazozungumzia, mkuu, ilhali kila kukicha zinalipuliwa? Unawezaje kukaa katika kambi ambayo inalengwa 24/7 !?
Ndio nasema kama hamna kambi na jeshi limekimbilia milimani je kwanini marekani isimlete huyo Pahlavi awe Rais ama kwanini wananchi wasitoke ndani wakaiteke nchi wamweke rais wao?

Make it make sense
 
Ndio nasema kama hamna kambi na jeshi limekimbilia milimani je kwanini marekani isimlete huyo Pahlavi awe Rais ama kwanini wananchi wasitoke ndani wakaiteke nchi wamweke rais wao?

Make it make sense
Unadhani Marekani hufanya mambo kwa mihemko kama unavyotaka wewe? Je, ni lazima wamlete Pahlavi ili kutimiza malengo yao ya kivita?
 
Ndio nasema kama hamna kambi na jeshi limekimbilia milimani je kwanini marekani isimlete huyo Pahlavi awe Rais ama kwanini wananchi wasitoke ndani wakaiteke nchi wamweke rais wao?

Make it make sense
Tulieni dawa iwaingie huwezi kuwafundisha kazi Jeshi la Israel wao wanajua wanachokifanya!!

Wanataka kwanza kulitia adabu Jeshi la Basij mengine ndiyo yatafuata kwa hiyo Tulsa uone kazi inavyofanywa!!!!
 
View attachment 3556799
Tukubali ukweli tu hii vita marekani kachemsha yaani kapigwa sana aise leo siku ya tatu mashambulizi ya marekani ndani ya iran yamepungua sana inasemekana rada za kuongoza ndege nyingi zimepigwa mifumo ya ulinzi imechakazwa mbaya mpaka marekani kaenda kubeba mifumo ya ulinzi ya korea kusini


Huku iran ikisema hii vita wao ndio wa kuimaliza.

Nimebaki najiuliza tu hivi marekani anaweza simama na mchina hata siku tatu kweli!!?
Mtanyooka tu mtaongea weeeee lakini mwisho wa siku mtaelewa tu soma!!!!
 
Hii mijadala ya kisengge kweli vita imekuwa kama ushabiki wa mpira. Uhai wa mwanadamu thamani yake haipimiki.
Mambo yetu ya ndani hapa TZ maji yako shingoni ccm wanatupiga mbele nyuma, bado mnahangaika kushabikia mauaji huko uajemi
Sisi huku tumeshafuturu tuna subiri tu tupate Daku!! Kwa hayo Makasiriko nina uhakika Njaa inakusumbua kwa hiyo Njoo haraka huku Kwa Mpalange kuna mwarabu anafutulisha na wewe update riski uache huo uchumi wako!!
 
Trump is a pathological liar! Kama kweli Iran haina chochote kilichobaki, kwanini Israel na Marekani hawaiingizi majeshi yao humo waifurushe repressive regime ya Ayatollah Khamenei?
Kwa hiyo wewe sasa unataka uwapangie namna ya kufanya walioianzisha hiyo vita?
Au unafikiri wao walikurupuka kuingia vitani bila mipango? Wewe tulia wenyewe wanajua nini watakachokifanya!!!
 
Iran hapigani peke yake nyuma ana supporters wengi km ingekua Iran anapiga peke yake bila msaada ya nchi zingine hii vita ni asubuhi sana ingekua imeisha ni sawa na Ukraine mbele ya Russia ukimuondoa Marekani na NATO asubuhi sana Ukraine kachakazwa, nyuma ya Iran kuna Russia, Syria, North Korea na China kwa hio usikae tu ukasema Iran kafanya hivi au kafanya vile nyuma ya Iran kuna makundi mengine mengi kutoka Nchi tofauti km vile Pakistan, Iraq, Lebanon hayo makundi yote yanapigana pamoja na Iran, sasa nashangaa watu wanapokaa kusema Iran ndio inapigana Iran haipo peke yake ingekua peke yake vita ingekua ishamalizika kitambo sana
Marekani si ndio ipo pekeake
 
Sio alipigana, alivamia na kulipua maghala ya silaha kabla ya vita kuanza. Na alipigana na Egypt, Syria na Jordan ambazo. Na alipewa support na meli vita za USA so hakuwa mwenyewe

Sasa iran anapambana mwenye bila msaada wa NCHI yoyote. Israel hawezi na siku akipigana mwenyewe na Iran bila USA kuingilia basi alichofanya Hitler itaonekana ni chamtoto
Hamkosi visingizio!! Marekani na Israel ni washirika kwa hiyo safari hii mtanyooka tu!!
 
Sio alipigana, alivamia na kulipua maghala ya silaha kabla ya vita kuanza. Na alipigana na Egypt, Syria na Jordan ambazo. Na alipewa support na meli vita za USA so hakuwa mwenyewe

Sasa iran anapambana mwenye bila msaada wa NCHI yoyote. Israel hawezi na siku akipigana mwenyewe na Iran bila USA kuingilia basi alichofanya Hitler itaonekana ni chamtoto
Kwani Iran anapigana na nchi zipi?


Unaelewa maana ya kupigana wewe
 
Kwa hiyo wewe sasa unataka uwapangie namna ya kufanya walioianzisha hiyo vita?
Au unafikiri wao walikurupuka kuingia vitani bila mipango? Wewe tulia wenyewe wanajua nini watakachokifanya!!!
Siwapangii—wao ndio kila siku wanatuletea bullshit. Wameshindwaje hata kuhakikisha commercial ships zinaendelea kupita Strait of Hormuz kama kawaida?
 

Ujinga mtupu unakusumbua!!
Huko Gaza Hamas,Hezbollah na Houth kumbe walipigwa na Mashoga wa IDF basi itakuwa ni jambo la fahari kubwa Magaidi hao kupigwa na Mashoga!!!

Umewasifia sana Warusi kuwa ni Supapawa leo hii ni mwaka wa 4 na ushee Supapawa hao wa nahangaika na Ukraine nchi ndogo sana,Warusi mpaka wanatumia Mamluki kutoka Afrika, Somalia,Syria na kwingineko kama wana Askari waziri kwa nini mpaka leo wameshindwa kuiteka Ukraine 🇺🇦 Acheni ujinga!,
 
Unadhani Marekani hufanya mambo kwa mihemko kama unavyotaka wewe? Je, ni lazima wamlete Pahlavi ili kutimiza malengo yao ya kivita?
Haaahaaaa yaani wanajeshi wako mapangoni, hakuna kambi ya jeshi, wala Navy wala Airforce ila eti hakuna raia anatoka kuandamana kuchukua nchi wala US haijatangaza kubadili uongozi. Na wakati huo huo haijasogeza meli yake Strait of Hormuz!! Kisa nini eti hawana mihemko? Hahahaha
 
Tulieni dawa iwaingie huwezi kuwafundisha kazi Jeshi la Israel wao wanajua wanachokifanya!!

Wanataka kwanza kulitia adabu Jeshi la Basij mengine ndiyo yatafuata kwa hiyo Tulsa uone kazi inavyofanywa!!!!
Si mmesema wameshakimbia wako milimani ina maana Tehran ni nyeupe haina askari wowote yule!! Hahahahha ila hamtaki kuchukua utawala na njia ni nyeupe!!

Aisee you're beyond delusional
 
Back
Top Bottom