Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Pirates eeh haya sogezeni pua kwenye strait ya Hormuz!!
Kwanza mlisema Israel hawezi kuingia Iran wakaingia!! Mkasema tena Gaidi Khamenei hawezi kunyolewa ndevu zake bila maji Kanyolewa sasa hivi tena mnasema hawezi kufika kwenye mlango bahari wa Hormuz tumieni akili zenu vizuri!!

Kama Ndege zake zinaweza kufika na kupiga popote nchini Iran bila kizuizi wanashindwaje kupita hapo?

Hata kama aliweka Mines kwani haiwezekani kutolewa!?
 
Mjinga na Mpumbavu tu ndiyo anaweza kuamini upotoshaji huu!! Huyo ni Mwislamu anawezaje kukielewa kitabu cha Talmud? angekuwa Muyahudi hapo tungemwelewa.

Ni sawa na Mkristo aanze kuielezea Quran hawezi kupelekea ipasavyo na ujinga huu wanao sana Wafuga Midevu na Majini kupotosha maandiko ya wengine!!!
Yaani Google , ChartGtp hawezi kuona talmud imeandika nini ? Gwajima kajificha Hawapi tena majani kondoo wake?
 
Ujinga mtupu unakusumbua!!
Huko Gaza Hamas,Hezbollah na Houth kumbe walipigwa na Mashoga wa IDF basi itakuwa ni jambo la fahari kubwa Magaidi hao kupigwa na Mashoga!!!

Umewasifia sana Warusi kuwa ni Supapawa leo hii ni mwaka wa 4 na ushee Supapawa hao wa nahangaika na Ukraine nchi ndogo sana,Warusi mpaka wanatumia Mamluki kutoka Afrika, Somalia,Syria na kwingineko kama wana Askari waziri kwa nini mpaka leo wameshindwa kuiteka Ukraine 🇺🇦 Acheni ujinga!,

Usinikoromee Mimi , mkoromee huyo unayemwona ni Mtakatifu wako aliyesema .

Israel is the gayest country on earth​

https://blogs.timesofisrael.com/israel-is-the-gayest-country-on-earth/
 
Hao washukuwa na hadhi ya kuwa magaidi, wakati wowote hufanya mashambulizi ya kigaidi.
US na Israel ndiyo walitumia njia za kigaidi (kushtukiza) ili kuuà top leaders wa Iran, alafu wakataka Iran iache mara moja kulipiza kisasi. Israel na Marekani ni magaidi pro max.
Ndiyo maana kwa sasa wanashambulia meli, maduka makubwa, shule na viwanja vya ndege vya nchi jirani bila sababu.
Israel na US saizi wameamia kwenye attacking civilian infrastructures and killing innocent people. Je, unalizungumziaje hili? Au yeye Irani hana uhalali wa kulipizà kile Israel na US wanachokifànya?
Iran kwa sasa iko katika hali ya kukata tamaa sana, na vita hivyo tayari wamevipoteza.
Aliyekata tamaa na kupoteza vita, sasa hivi UN imeingilià Kati kumtaka Iran iache kuendelea na mashambulizi. UN hawatoi katazo kumlazimisha Israel na US iache kushambulia. UN jicho Lao lipo kum-track Iran anavyoshambulia nà Wala si Israel au US.

Aliyedhoofu na kudhoofikà (Iran) anapewa onyo "Acha kushambulia". Aliye na nguvu na afya Tele (Israel na US) yeye ni kama amepewa baraka za kuendelea kushambulia.

Hiki inachokifanya UN Ni tofauti na mchezo WA masumbwi.
IRGC wamebaki kufanya propaganda mtandaoni na kubishana kwenye mitandao ya kijamii.
Hakuna nchi inayozifikia nchi za magharibi kwa propaganda dunia hii. Marekani ni mabingwa WA propaganda pro max.😁😁😁😀
 
Aliyekata tamaa na kupoteza vita, sasa hivi UN imeingilià Kati kumtaka Iran iache kuendelea na mashambulizi. UN hawatoi katazo kumlazimisha Israel na US iache kushambulia. UN jicho Lao lipo kum-track Iran anavyoshambulia nà Wala si Israel au US.
Sasa ndugu, kwa akili zako unategemea Umoja wa Mataifa (UN) uwakemee Marekani na Israel wakati wao ndiyo wenye ushawishi mkubwa ndani yake? Mjomba, mtaendelea kupigika mpaka kuwa majivu. Hivi Kiongozi Mkuu yuko wapi? Ninasikia anaongoza nchi akiwa kwenye koma, hahahaha. Kwa kweli, hata Hamas waliwahi kukemewa na UN waache mara moja mashambulizi dhidi ya Israel; wako wapi sasa?
 
Sasa ndugu, kwa akili zako unategemea Umoja wa Mataifa (UN) uwakemee Marekani na Israel wakati wao ndiyo wenye ushawishi mkubwa ndani yake?
Basi Iran Siyo dhaifu Bali UN ndiyé dhaifu. Iran anahaki ya kujibu kile inachofanya Israel na US.
Mjomba, mtaendelea kupigika mpaka kuwa majivu.
Kijiografia hilo haliwezekani. Kati ya Israel na Iran, vita ya man to man, Israel ndiyé mwenye chance ya kupoteza kwenye battle field. Kupiga majengo na kulipua barabara Siyo ndiyo kushinda vita, wakati bado man power ya Irani inaendelea ku-operate.
Hivi Kiongozi Mkuu yuko wapi? Ninasikia anaongoza nchi akiwa kwenye koma, hahahaha.
Kwani ulitaka awe wapi? Kikubwa si yupo na anaendelea kutoa speech kama kawaida? Anaendelea kutoa Maelekezo kama kawaida. Be it direct or indirect, video conference, paper speech, au via messenger (representatives)
Kwa kweli, hata Hamas waliwahi kukemewa na UN waache mara moja mashambulizi dhidi ya Israel; wako wapi sasa?
Sasa kama UN wanatumika kumfanya US na Israel kuwa wakorofi ila UN hiyo hiyo haitaki US na Israel iguswe, hii inàmaana kwamba: UN Ni "Toilet paper WA US na Israel". And definitely yes! UN hawana meno kwa US na Israel, hata balozi WA Iran katika umoja wa mataifa juzi aliilaumu UN kwamba inatumika kulinnda maslahi ya US na Israel. Sasa basi, hatupaswi kuzilaumu nchi nyingine kwamba ni dhaifu bin dhoofu wakati UN mwenyewe ni kisababishi. UN hana muelekeo wa kimipango kuhusu haki na utu dhidi ya ràia wa nchi nyingine.
 
Kwani ulitaka awe wapi? Kikubwa si yupo na anaendelea kutoa speech kama kawaida? Anaendelea kutoa Maelekezo kama kawaida. Be it direct or indirect, video conference, paper speech, au via messenger (representatives)
Katoa lini speech!? 🤔
 
Basi Iran Siyo dhaifu Bali UN ndiyé dhaifu. Iran anahaki ya kujibu kile inachofanya Israel na US.

Kijiografia hilo haliwezekani. Kati ya Israel na Iran, vita ya man to man, Israel ndiyé mwenye chance ya kupoteza kwenye battle field. Kupiga majengo na kulipua barabara Siyo ndiyo kushinda vita, wakati bado man power ya Irani inaendelea ku-operate.

Kwani ulitaka awe wapi? Kikubwa si yupo na anaendelea kutoa speech kama kawaida? Anaendelea kutoa Maelekezo kama kawaida. Be it direct or indirect, video conference, paper speech, au via messenger (representatives)

Sasa kama UN wanatumika kumfanya US na Israel kuwa wakorofi ila UN hiyo hiyo haitaki US na Israel iguswe, hii inàmaana kwamba: UN Ni "Toilet paper WA US na Israel". And definitely yes! UN hawana meno kwa US na Israel, hata balozi WA Iran katika umoja wa mataifa juzi aliilaumu UN kwamba inatumika kulinnda maslahi ya US na Israel. Sasa basi, hatupaswi kuzilaumu nchi nyingine kwamba ni dhaifu bin dhoofu wakati UN mwenyewe ni kisababishi. UN hana muelekeo wa kimipango kuhusu haki na utu dhidi ya ràia wa nchi nyingine.
Msome kwanza Kiranja Mkuu wa Dunia.

Hii ndo speech sasa.

1000367992.png
 
Katoa lini speech!? 🤔
Mpaka sasa hàkuna taarifa rasmi za kutolewa speech kutoka kwa kipngozi huyo. Ila order zinaendelea kutolewa kama kawaida, tena kila mudà na kila Saa.
 
Attachments

  • Israel.jpg
    Israel.jpg
    153.8 KB · Views: 12
Yaani Google , ChartGtp hawezi kuona talmud imeandika nini ? Gwajima kajificha Hawapi tena majani kondoo wake?
Ulivyo mjinga unafikiri wote wanatumia hivyo vitu!!

Toka lini Mwislamu akampa lecture Mkristo kuhusu Biblia?

Njama hizo za kuwatenganisha Wayahudi na Wakristo haziwezi kufanikiwa mtayapata tu Mabumunda kama wewe!!!

Israel na Ukristo havitenganishiki mtabwabwaja Mchana usiku mtalala Mbwa nyie!!!
 
Virtually yes! Anapambana mwenyewe.
Lakini Mimi Nitakuwa WA mwisho kuamini kama Iran anapambana mwenyewe Bila ya support.

Nina Imani kuna mikono ya wakubwa inatumika kusukuma kete ili kwenda mbéle against USA. USA analijua hili, na ndiyo maana kaanza ngonjera za mamma flani ili kusitisha au kukimbia mapambano.
Mpaka kufikia IRGC kusema kwamba "Vita itakoma mpaka malengo yetu yatimie", ujue kabisa kuna backup Irani wanaipata.
Hamna Iran ni lidude likubwa hakumkutegemea tu kuona mnacho kiona , Tulidanganywa sana kuhusu Iran
 
Hamna Iran ni lidude likubwa hakumkutegemea tu kuona mnacho kiona , Tulidanganywa sana kuhusu Iran
Hiki ni kisa cha David na Goliath hivyo endelea kushangazwa wakati dude hilo linaloitwa Iran likidondoka!!!
 
Mimi sishangai maana hata kule Gaza Magaidi wa Hamas mlikuwa mnawasifia hivi hivi lakini mwishowe mlianza kutoa Milio!!
Wewe nimaneno mengi.kama yule Donald leo anaongea hivi kesho vingine afu alio ongea leo anayarudia kesho kutwam

Maneno mengi mnayo yaongea basi mngeshinda vita zamani hahaha mnamshinda Iran kwa maneno basi Iran yeye ni Missiles ndio lugha yake Tazama Tela Aviv inavyo tembezewa kichapo

View: https://youtube.com/shorts/GJBWUIp_aOI?si=rSow1jD96Smnmr40
 
Kama Ndege zake zinaweza kufika na kupiga popote nchini Iran bila kizuizi wanashindwaje kupita hapo?
Zinafika popote si ndio? Haya wakalinde strait of Hormuz!! Wanachoogopa nini na wakati Iran imeshajifia kabisa?
Kwani vita imeisha? Punguzeni milio IDF bado iko kazini!!
Ndio IDF ipo kazini kuintercept missiles ambazo zinapenya kila siku licha ya kudanganya eti iron dome sijui David sling haipitishi bomu. Nashukuru tokea hii vita ianze ile propaganda ilikufa rasmi.
 
Hiki ni kisa cha David na Goliath hivyo endelea kushangazwa wakati dude hilo linaloitwa Iran likidondoka!!!
David ni Israel kivipi wakati ana back up ya nchi 10, yeye ndio goliath!! Hivi tuwe wakweli tu Israel ikishambuliwa na nchi 10 yaani imagine Iran ingekua ina back up ya Russia, China, North Korea na ile GCC nzima tungekua tunaongea nini leo?? Ingeweza survive hata siku 3 kweli kanchi size ya posta na kariakoo?

Acheni utani
 
Ulivyo mjinga unafikiri wote wanatumia hivyo vitu!!

Toka lini Mwislamu akampa lecture Mkristo kuhusu Biblia?

Njama hizo za kuwatenganisha Wayahudi na Wakristo haziwezi kufanikiwa mtayapata tu Mabumunda kama wewe!!!

Israel na Ukristo havitenganishiki mtabwabwaja Mchana usiku mtalala Mbwa nyie!!!
Wakristo wa Afrika ndio mnajikomba ila wayahudi wanawaona manyani tu. Na wakristo kule wanauwawa kila siku hasa East Jerusalem huko na Bethlehem. Nakuwekea hapa documentary ya wakristo wanaonyanyasika huko westbank licha ya kwamba wanamuamini Yesu na hawana ugomvi na wayahudi waa serikali ya Israel.

View: https://youtu.be/M-Ahyy6_aS8?is=8blrviM_OifJ8V0b
 
Uache ujinga Una niwekea documentary wakati Mimi niko huku huku, East Jerusalem wengi huko ni waislamu na ndiyo wana chuki sana na wasio waislamu.

Hizo documentary ni za propaganda za Chuki dhidi ya Wayahudi kuwaonyesha wayahudi ni wabaya wakati sivyo kabisa!!!
 
Back
Top Bottom