Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Ujinga mtupu unakusumbua!!
Huko Gaza Hamas,Hezbollah na Houth kumbe walipigwa na Mashoga wa IDF basi itakuwa ni jambo la fahari kubwa Magaidi hao kupigwa na Mashoga!!!

Umewasifia sana Warusi kuwa ni Supapawa leo hii ni mwaka wa 4 na ushee Supapawa hao wa nahangaika na Ukraine nchi ndogo sana,Warusi mpaka wanatumia Mamluki kutoka Afrika, Somalia,Syria na kwingineko kama wana Askari waziri kwa nini mpaka leo wameshindwa kuiteka Ukraine 🇺🇦 Acheni ujinga!,
Wanahangaika? Si wameshateka Donbass, Crimea etc yaani wameshateka at least 30% ya nchi so wao ndio wana leverage maana ndio wameikalia na kuvuna rasilimali zake. So anayeteseka ni anayefukuza mvamizi
 
Kwani Iran anapigana na nchi zipi?

Unaelewa maana ya kupigana wewe
Ndio kupigana ni kurushiana silaha na jeshi lingine. US na Israel zinamvamia Iran kupitia support ya Romania, Germany, Turkey, France, Saudi, Jordan, Syria, Qatar etc zote hizo zipo actively supporting mashambulizi kwa Iran au kumsaidia Israel kwenye interception ya missiles zinazoelekea Tel Aviv so technically WANAPIGANA na Iran.

Sasa nikuulize? Hao Israel wangekuwa wanachangiwa na nchi zote hizo angemaliza hata wiki kweli?
 
Ndio ina watu 93 Million na ndio nchi ya pili kwa ukubwa Middle East baada ya Saudi Arabia inafuata Iran ila hilo sio suala linalokufanya uwe na kiburi km kupigwa utapigwa tu na namba zako, U.S ina watu 349 Million na ukubwa wa Marekani kwa Iran chukua Iran 6 ndio unapata Marekani 1 kiukubwa, acha ubwege

Wakati Marekani imetangaza hali ya tahadhari kuwa kule Los Engeles/ Calfonia kuna uwezekano wa kushambuliwa na Iran; Wewe huku unabwabwaja kuwa imeishiwa nguvu....
Fuatilieni habari za kimataifa sio, kudanganyana kwenye magroup ya whatsup......
 
Vita kubwa watashinda hata kama itawachukua miaka 50. Hii ya sasa Marekani na Israel watajitangaza washindi. Bush alijitangaza mshindi wa vita ya Iraq lakini matokeo yake ikaibuka ISIS. Hivyo hivyo Gaza ns Lebanon. Baada ya mabomu yote ya Israel Hezbollah na Hamas bado wapo. Afghanistan hivyo hivyo. Iliwachuwa miaka zaidi ya 20 lakini Taliban wameichukua tena nchi yao. Trump atajitangaza mshindi, ataweka kibaraka wake lakini iko siku ataondoka tu. Hii sio mara ya kwanza kutokea Iran. Marekani walimuweka Shah kwa nguvu lakini mazao yake ni hawa ma Ayatollah. Vita sio reality TV au video game. Historia imetufundisha hilo.

Amandla...
Lakini sadam regime ilianguka
 
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:

"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?

Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.

Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.

Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.

Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz

Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."

View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61

Chai
 
Haaahaaaa yaani wanajeshi wako mapangoni, hakuna kambi ya jeshi, wala Navy wala Airforce ila eti hakuna raia anatoka kuandamana kuchukua nchi wala US haijatangaza kubadili uongozi. Na wakati huo huo haijasogeza meli yake Strait of Hormuz!! Kisa nini eti hawana mihemko? Hahahaha
Hao washukuwa na hadhi ya kuwa magaidi, wakati wowote hufanya mashambulizi ya kigaidi. Ndiyo maana kwa sasa wanashambulia meli, maduka makubwa, shule na viwanja vya ndege vya nchi jirani bila sababu. Iran kwa sasa iko katika hali ya kukata tamaa sana, na vita hivyo tayari wamevipoteza.

IRGC wamebaki kufanya propaganda mtandaoni na kubishana kwenye mitandao ya kijamii. Hata wamefikia hatua ya kumchagua mtu ambaye tayari amekufa kuwa Kiongozi Mkuu.

Lakini endelea kujifariji sio mbaya.
 
Jifurahisheni wavaa misalaba mko mjia panda kama misalaba yenu

IRGC ni kiboko wa USA na Israel
Sasa kati yangu na wewe nani anayejifariji? Iran inaelekea kuwa kama Gaza; kila kukicha milipuko inatikisa Tehran. Wakati huo huo, watu wako Washington na New York wanakunywa mvinyo kwa amani, ilhali nyinyi mnakula futari na tende mkiwa kwenye mahandaki. Hadi Allah mwenyewe amewatelekeza.
 
Vita kubwa watashinda hata kama itawachukua miaka 50. Hii ya sasa Marekani na Israel watajitangaza washindi. Bush alijitangaza mshindi wa vita ya Iraq lakini matokeo yake ikaibuka ISIS. Hivyo hivyo Gaza ns Lebanon. Baada ya mabomu yote ya Israel Hezbollah na Hamas bado wapo. Afghanistan hivyo hivyo. Iliwachuwa miaka zaidi ya 20 lakini Taliban wameichukua tena nchi yao. Trump atajitangaza mshindi, ataweka kibaraka wake lakini iko siku ataondoka tu. Hii sio mara ya kwanza kutokea Iran. Marekani walimuweka Shah kwa nguvu lakini mazao yake ni hawa ma Ayatollah. Vita sio reality TV au video game. Historia imetufundisha hilo.

Amandla...
Mpaka hapa kuna regrets tayari ndani ya utawala wa Trump. Hawakutarajia kwamba mambo yangekuwa hivi. Sasa hivi wanatafuta exit, lakini wamekuwa disoriented. Sooner or later, wataamua kutangaza prematurely kwamba wameshinda ili wasepe without losing their prestige. Otherwise, another Pyrrhic victory is in store for them. American mazafakas will never forget Iraq and Afghanistan!
 
Kwa nini unatumia maneno kama "Pyrrhic victory". Unachanganya wengine.
Yule mpuuzi alidhani vita itapiganwa Teheran tu.

Leo mtu kajaribu kuleta maafa katika synagogue Michigan. Siku nne zilizopita palikuwa na mlipuko katika ubalozi wa Marekani Norway. Watuhumiwa ni raia wa Norway wenye asili ya Iraq.

Waislamu wengi wa kishia duniani wanamuona Ayatollah wa Iran kama kiongozi wao. Ukimgusa umewachokoza

Amandla...
 
Jifurahisheni wavaa misalaba mko mjia panda kama misalaba yenu

IRGC ni kiboko wa USA na Israel
Mimi sishangai maana hata kule Gaza Magaidi wa Hamas mlikuwa mnawasifia hivi hivi lakini mwishowe mlianza kutoa Milio!!
 
Mimi sishangai maana hata kule Gaza Magaidi wa Hamas mlikuwa mnawasifia hivi hivi lakini mwishowe mlianza kutoa Milio!!
Wewe mburula badala ya kuleta matukio unaleta taarabu za trump...
Leta hapa ushahidi wamepita Hormuz kama kweli wameimaliza navy ya Iran....
 
Kwa nini?

Amandla...
Inaonyesha wazi hujui maana ya kuwa majeshi ya anga na majini!!

Pia unataka Chad,Nigeria na mali wawe na Navy wakati hawana bahari!! Hii inanionyesha ni jinsi gani ulivyo Bumunda
 
Back
Top Bottom