Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Hawajui Iran ina wananchi milioni 90 na ukubwa wa Tanzania + Kenya!
Ndio ina watu 93 Million na ndio nchi ya pili kwa ukubwa Middle East baada ya Saudi Arabia inafuata Iran ila hilo sio suala linalokufanya uwe na kiburi km kupigwa utapigwa tu na namba zako, U.S ina watu 349 Million na ukubwa wa Marekani kwa Iran chukua Iran 6 ndio unapata Marekani 1 kiukubwa, acha ubwege
 
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:

"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?

Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.

Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.

Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.

Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz

Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."

View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61

Bila ya shaka wewe unaripoti kutokea Chunya
Baada ya kudanganywa na viraza wenzako

Sisi watu wa Dar tunaofuatilia hii vita tunachokijua ni kuwa Netanyau amejificha Yani hajulikani alipo
 
Wee jamaa !? 🤣🤣

Unaeweza kutueleza for fact huo ushindi alionao ni upi !? Na sio Kwa matamko Yako binafsi

Unajua malengo ya hiyo vita wakati vita inaanza USA na Israel walituambia malengo ya vita hiyo ni Nini !?

1. Kuharibu mifumo ya kurusha makombora.
2. Kufanya Regime change (hili bado)
3. Kumuua Ayatollah Khamanei
 
Waajemi siyo watu wakukata ²tamaa kiwepe¹
Subscribed threads
si
Watanyooka tu Kwanza hawana Airforce,
Waliwezaje kuweka mabomu ndani ya strait kama hawana navy? Or rather kwanini Meli za USA zisisindize mafuta maana si hakuna tena cha Navy?? Wanaogopa nini?
Kwa hiyo wewe huamini kama Iran kwa sasa hawana Airforce,Navy na mifumo yao ya Ulinzi wa anga imeangamizwa??

Binafsi sioni Ndege-vita za Iran zikileta upinzani kwa marubani wa ndege-vita za Israel wala sioni Mifumo ya ulinzi wa anga ukizidungua ndege za Israel badala yake tunaona ndege za Israel zinapiga zinapotaka bila upinzani wowote.

Wanamaji nao wako kimya nyambizi na manoari za matekani zikitamba kwenye pwani ya Iran

Huo mlango bahari wa Hormuz wataulinda vipi kama hawana ndege,wanamaji na mifumo ya ulinzi wa anga?
 
Bila ya shaka wewe unaripoti kutokea Chunya
Baada ya kudanganywa na viraza wenzako

Sisi watu wa Dar tunaofuatilia hii vita tunachokijua ni kuwa Netanyau amejificha Yani hajulikani alipo
Kwa hiyo ninyi watu wa Dar mmemuua Netanyahu? Sasa nimeamini ndiyo maana wanaume wa dar mnaogopa Panyq Road!!
 
1. Kuharibu mifumo ya kurusha makombora.
2. Kufanya Regime change (hili bado)
3. Kumuua Ayatollah Khamanei
Mifumo Gani ya makombora waliyo iharibu !? Kama wamefanikiwa kuharibu hiyo mifumo makombora yaliyo rushwa Jana tel-aviv yametokea wapi !?

Na kama kweli wame haribu mifumo hiyo ya makombora Kwanini wanashindwa kupitisha meli zao Hormuz kama walivyo sema kuwa watapitisha na hawana wanacho kiogopa !?

Mkuu you're better than that aisee
 
Kwa hiyo wewe huamini kama Iran kwa sasa hawana Airforce,Navy na mifumo yao ya Ulinzi wa anga imeangamizwa??
Ndio nakuuliza wanawezaje rusha drones au Balistic missiles ilihali ndege za wayahudi zinazurura anga la Iran? Means zingekua intercepted ndani ya Iran humo humo.
Wanamaji nao wako kimya nyambizi na manoari za matekani zikitamba kwenye pwani ya Iran
Acha utani!! Kwamba hauoni Trump alvyochimba biti kuhusu Iran kutega mabomu kwa bahari, sasa waliwezaje bila navy yoyote au kama ingekua USA inaitawala mwambao wa Iran? Kingine imekataza meli kupita hapo, je kama navy hapo kinachowauzia USA kusindikiza meli za mafuta ni nini? Na kwanini meli za Korea zimepigwa mabomu if at all bahari iko controlled na USA
Binafsi sioni Ndege-vita za Iran zikileta upinzani kwa marubani wa ndege-vita za Israel
Wewe hujasema hamna upinzani, umesema hamna kabisa ndege yoyote iliyosalia!! ila kila siku hapa Fox news (Machawa wa Trump) inaripoti mtanange ya Airforce.
Israel says fighter jet took down Iranian warplane, the first shootdown of its kind
wala sioni Mifumo ya ulinzi wa anga ukizidungua ndege za Israel badala yake tunaona ndege za Israel zinapiga zinapotaka bila upinzani wowote.
Kwahiyo yale makombora ya Iran yanayopiga kambi za USA, Tel aviv na vituo vya mafuta inamaanisha Israel haina ulinzi wa anga? Ukirusha makombora 100 wanaweza intercept 80 yakapita 20 ndio missile defense zilivyo otherwise Tehran ingekua majivu kama gaza. Maana so far Israel imerusha sio chini ya makombora 10,000!!
Huo mlango bahari wa Hormuz wataulinda vipi kama hawana ndege,wanamaji na mifumo ya ulinzi wa anga?
Oooh drone technology kama shaheed 238 unazijua? Kama unadhani vita za siku hizi mpaka utume askari unajidanganya. Drone Iran hana mpinzani hata Israel anajifunza kwake ndio maana wameomba msaada kwa Ukraine maana amepambana nazo sana. Ukichanganya na makombora hatari kama Kheibar shekan nani atapita strait of Hormuz?
 
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:

"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?

Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.

Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.

Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.

Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz

Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."

View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61

We tatizo lako ukristo unakusunbua nani kakuambia Iran hawana Airforce au Navy mwambie Trump basi apitishe oil pale Hormoz kama anaweza afu nakuliza zile Carriers zake mbona kazikimbiza na kuziweka mbali na Iran karibu 1000 km badala kuzileta pale Hormoz

Kule Israel hapatamaniki tena na bado mtapokea kipigo cha mbwa koko tulieni dawa iwaingie vizuri.

View: https://youtube.com/shorts/M2g9JaSa0uY?si=T0wa_iMRWkxPgPmO

Hizo ndio ndege mlizo piga mnajisifia hio ndege ni cheaper kuliko hio Missile mlio tumia hahaha afu mbona hamtuonyeshi fighter jet
 
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:

"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?

Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.

Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.

Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.

Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz

Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."

View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61

Hizi ni hadithi za kusadikika....
Tuambie kwanza alipojificha Netanyahu tangu asambaratishwe tar 2nd March
Nasikia karudi kwao Ujerumani; Si mnaambiwa wale ni mamluki wa Ujerumani walipewa ardhi ya wapalestina na wamarekani mwaka 1945
 
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:

"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?

Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.

Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.

Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.

Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz

Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."

View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61

View: https://www.instagram.com/reel/DQMmhIHDX8n/?igsh=anBqN2VyaDA1eDRk
 
Ujima au vipi

1773312624364.png
 
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:

"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?

Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.

Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.

Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.

Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz

Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."

View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61

View: https://www.instagram.com/reel/DPZMj1VjTRs/?igsh=MWxyeG1hZ3h1YnR4dw==
 
Tatizo wamarekani hawawezi kuvumilia vita ya muda mrefu, wapiga kura hawataki hayo mambo.

Epic furry is doomed from the start.
Hawawezi vita vya muda mrefu? Check your facts again

Tatizo la mmarekani kwenye vita lipo nyumbani kwake, washington DC ,si anapopigana vita
 
Nje ya mad: Trump ana hasira za kupigwa chini, awamu ile na Biden. Ile ilimpa hasira sana na kumuumiza san kisaikolojia. Sasa anainyoosha dunia. 😁
 
Back
Top Bottom