Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #161
Unajitahidi sana kulialia ili tu kupata Sympathy lakini ukweli utabaki palepale kuwa Iran lazima apigwe No Matter what!!!! Iwe ni mtu mmoja au anapigwa na watu 20 miradi tu amepigwa inatosha sana!!!David ni Israel kivipi wakati ana back up ya nchi 10, yeye ndio goliath!! Hivi tuwe wakweli tu Israel ikishambuliwa na nchi 10 yaani imagine Iran ingekua ina back up ya Russia, China, North Korea na ile GCC nzima tungekua tunaongea nini leo?? Ingeweza survive hata siku 3 kweli kanchi size ya posta na kariakoo?
Acheni utani