Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Screenshot_20250623-194455.png

Screenshot_20250623-195044.png


Naona gaidi iran anatapa tapa, sasa ni dhahiri anajichimbia kaburi mwenyewe.
=======
Iran imetekeleza mashambulizi ya kombora dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizoko nchini Qatar na Iraq, kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya kimataifa.

Mashambulizi haya yanakuja kama sehemu ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran.
 
Back
Top Bottom