Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

View attachment 3380556

Iran asitusanifu.

Bases takribani 22 zote hizo azimudu na bado aendelee kupigana na Israel.

Iran itakeguka majivu mda si mrefu.
Marekani lazima atajibu tu.
Base zingine dhaifu,ya iraq wajeda wamekimbilia shelters kama wayahudi, wakati qatar yametunguliwa matatu matatu yametua
 
Mkuu Mimi ningekuwa mrushaji wa hayo makombora kwa akili yangu mengine ningeyarusha kwenye makazi ya watu makusudi ili niwaue nifurahi.
Yaan mim Israel ikipigwa hata kama naumwa najisikia kupona nasikia rahaa ajabu nawachukia hap watu mim ,Marekan angekaa pembeni tuone Israel taifa la shetan anakaaje umbwa
 
Iran hana madhara, anajiongezea kuwaita wakubwa wamdunde kama ngoma tu

Qatar says missile targeting Al Udeid was intercepted, no casualties reported

Qatar’s Defence Ministry says its air defence systems successfully intercepted missiles targeting Al Udeid Air Base.
In a statement, the ministry said the incident resulted in no deaths or injuries, crediting “the vigilance of the armed forces and precautionary measures taken”.
The ministry reassured the public that Qatari airspace and territory remain safe and that its armed forces are fully prepared to handle any threat.

Source Al Jazeera

 
Ajabu kwenye hizo base za Marekani hayo makombola yamechenjuliwa juu kwa juu ila Israel yanatua!

Ina maana anga la Israel lipo uchi kuliko la Qatar?

BTW:Leo Iran kachambia jani la mgomba!
Kwani Iran amehit kambi za jeshi ngapi Israel
Wakiamua kurusha random hapo Qatar napo patachafuka huwezi kuweka AD nchi zima
 
Nimeona Breaking news kuubwa, nikajua ni yule mtu hatunae tena
 
Kaka niandalie kachumba kakulala hapo Tel Avivi.. huyu Khamenei hana nia nzuri kabisa hapa Teheran chupi zangonga mavi na kurudi 🙂
Yeye mwnyw tupo nae huku Tel Aviv tumempa makazi, c unajua tena n jasusi wetu huko makobazin
 
Back
Top Bottom