The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Quatar nao wamesema watajibu.. hii vita itasambaa mashariki ya Kati yote...
Kwanini Iran asingepiga pale New York City?
Sidhani kama ballistic missiles zingefika kule, Ila nahisi wanatamani sana kua na huo uwezo.