Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Sijaona ndugu 😂😂
Tunae kiongozi shupavu
1750702144396.jpg
 
Hii vita sio ya kuichukulia kirahisi rahisi tu kwamba Iran Atapigwa na utawala wake utaangushwa na maisha mengine yataendelea, Mpaka kufikia huko Utawala wa Iran kuangushwa basi uchumi wa Dunia hii utakua hautamaniki. Hii Dunia inaweza kushuhudia Matokeo mbalimbali ya hii vita ambayo Hayakutarajiwa, Kuna spring kubwa duniani itatokea, Kuna mataifa yataibuka kua na nguvu kubwa na mengine yatadhohofika sana, Vita sio jambo jema kabisa.
Ni kweli uchumi utayumba ila so kweli ataibuka ataibuka super power ki uchumi tofauti na aliepo!
 
Sio mara ya kwanza kufanya hivyo , waliwahi kupiga Kambi za jeshi za marekani zilizopo Iraq ktk kipindi Cha kwanza Cha utawala wa trump baada ya Trump kumuua General qassem
Ila irani ni wanaume wallah sikutegemea kama wangexipiga kambi za marekani
 
Qatar naona wanaweza wakaintercept ila Iraq,madhara yatakuwa makubwa sana kwa wanajeshi wa US.
 
Waache wapambane tu ,yetu macho!! Upuuzi ,sasa wanapigana na kurushiana makombora and then what?
 
Mdogo mdogo mara Iran (Shia)? versus Sadia (Sunni)mwisho Makkah is down, Makkah is down. Wataangamizana kwa mikono yao wenyewe wasipopata akili wale wana wa upanga.
Iran anachafukwa anapiga bomu pale kwenye jiwe jeusi 😂
 
Back
Top Bottom