Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Mkuu media zinapotosha sana ndio mana unaona hata journalists wanakuwa blocked ku acces Israel ila infact Iran amesha amua liwalo na Liwe tu tena uyu atakuwa na Major player behind the scene yeye anatumika kama Catalyst tu, The World war inanukia sana sana Kuna dola inataka Kudondoshwa ile wa emerge wababe wengine
Dah wamatumbi bhana kwa hiyo nyinyi ndo mna hizo info ambazo CIA hawana
 
Ajichimbie kaburi mara ngapi Mkuu, Taifa gani litang'ang'ana kupambana na USA yenye militaries bases zaidi ya 600 duniani?
Kukosa hekima ndiyo kaburi lenyewe sasa hata kama una akili na mali kiasi gani duniani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
US ata awe na base 10000 hawezi kwenda vitani peke yake ever
 
Ila irani ni wanaume wallah sikutegemea kama wangexipiga kambi za marekani
Wamepiga wapi sasa?

Walichofanya ni kurusha makombora kuelekea Qatar akiamini yanaelekea kwenye kambi za kijeshi za USA. QATAR wenyewe wanasema wametungua yote.
 
Basi tu US ana shobo ila tulitaka hili battle liwe Iran vs Israel…
 
Mkuu Mimi ningekuwa mrushaji wa hayo makombora kwa akili yangu mengine ningeyarusha kwenye makazi ya watu makusudi ili niwaue nifurahi.
kwenye vita kujiriushia makombora huwa inatokea lakini huja kusemekana ni bahati mbaya bomu limelenga kimakosa
 
Hanaanzaga hivi hivi, uku wanaendelea kusema Mungu ni mkubwa Mungu ni mkubwa mara paa... Dunia haina mahali pa kwenda kumdungua mr devil 👿 kwa mawe. Yeye 👿 atakuwa anacheeeka!
Yale yale ya yule Mama aliyekuwa anajiaminisha kuwa kwa nguvu za Allah kamwe mabonu hayawezi kuwafikia akiwa kwenye Televisheni ya matangazo, hajamaliza hata alichokuwa anaongelea likatua bomu pale pale, alichukua haraka pikipiki na kukimbia papo hapo.

SIdhihaki dini ya Mtu ila Wakuu nimegundua Mungu hajaribiwi kamwe.

Huwezi kukimbizwa na simba porini afu unakaa tu papo hapo ukidai kuwa Mungu atakusaidia la hasha! Mungu alishakupatia maarifa na akili za kujiongoza inapobidi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Nashauri hizo base zote zilizopo ukanda huo ziweze kujibu hilo shambulio
 
Screenshot_2025-06-23-21-51-50-54.jpg
 
Back
Top Bottom