Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Mimi sijui ugomvi sababu ni nini? Nakaa upande upi 😂
 
kwenye vita kujiriushia makombora huwa inatokea lakini huja kusemekana ni bahati mbaya bomu limelenga kimakosa
Wakati mwingine hizi sheria hiza za vita ya kitoshambulia raia inakera sana kwa sababu hata ukiangalia sababu ya marekeni na Israel kukushambulia Iran ni tishio la Iran kuwa ipo siku itaishambulia Israel na kuipoteza.

Sasa Iran si ndo watumie hiyo fursa kufurumusha makombora Israel kama kweli nia yao ni kuifuta Israel katika uso wa duni.
 
Iran sasa kajiingiza kingi mwenyewe, atachapika achakae na sijui kama ataweza kurusha makombora ya masafa marefu mpaka marekani. Marekani yenyewe ina midege ya kutoka kwao moja kwa moja mpaka iran kuibamiza. Mind kwamba ina washirika wake wa kivita NATO. NATO wanaweza kumsaidia mwanachama mwenzao kikamilifu kwani wana mkataba wa kumsaidia vita. Iran ndio basi tena, utawala wa maayatollah unang'olewa
 
Ajabu kwenye hizo base za Marekani hayo makombora yamechenjuliwa juu kwa juu ila Israel yanatua!

Ina maana anga la Israel lipo uchi kuliko la Qatar?

BTW:Leo Iran kachambia jani la mgomba!
kwa mujibu wa taarifa za wachambuzi wa mambo ya vita ni kwamba makombora ya Iran yanapenya kwenye anga la Israel, sababu mifumo mingi ya kuzuia makombora hayo ipo kwenye operation nchini Iran . Iwapo kama Marekani akijoini hii operation watarudisha mifumo hiyo mingi nyumbani ili kuongeza nguvu ya kufanya interception ya ballistic missile kutoka Iran .
 
Wakati mwingine hizi sheria hiza za vita ya kitoshambulia raia inakera sana kwa sababu hata ukiangalia sababu ya marekeni na Israel kukushambulia Iran ni tishio la Iran kuwa ipo siku itaishambulia Israel na kuipoteza.

Sasa Iran si ndo watumie hiyo fursa kufurumusha makombora Israel kama kweli nia yao ni kuifuta Israel katika uso wa duni.
Mimi sijajua sababu ya ugomvi embu niambie 😂
 
Ajabu kwenye hizo base za Marekani hayo makombora yamechenjuliwa juu kwa juu ila Israel yanatua!

Ina maana anga la Israel lipo uchi kuliko la Qatar?

BTW:Leo Iran kachambia jani la mgomba!
Leo kachambia jani la mpilipili kabisa
 
Wakati mwingine hizi sheria hiza za vita ya kitoshambulia raia inakera sana kwa sababu hata ukiangalia sababu ya marekeni na Israel kukushambulia Iran ni tishio la Iran kuwa ipo siku itaishambulia Israel na kuipoteza.

Sasa Iran si ndo watumie hiyo fursa kufurumusha makombora Israel kama kweli nia yao ni kuifuta Israel katika uso wa duni.
ikifanya hivyo itawekwa kati kwa kushambuliwa kila upande na washirika wa israel, marekani na ulaya
 
Mimi sijajua sababu ya ugomvi embu niambie 😂
Mashoga wawili wanataka kuharibu mpango wa nuclear wa Iran ambao inaoneka utakuja kuwa na athari kule Israel siku za usoni.

Pia wanataka kumtoa utawalani rafiki yangu wa muda mrefu Ayatollah Khemenei ambaye ameifanya Iran ishamiri kiuchumi pamoja na kuwekewa vikwazo na nchi zenye keherhere kama mkia wa mbuzi zikiongozwa na marekeni.

Kumbuka Iran ndiyo nchi nambari moja katika kuhakikisha taifa la Israel lililoanzishwa kimkakati pale middle east linateketezwa Moja kwa Moja.

Mungu ibariki Iran, Mwachiluwi say amen!
 
Nipo kwa mui

zilaer mtoa rohoo
 
Nipo kwa mui

zilaer mtoa rohoo
Na marekani wakiangusha utawala wa Ayatollah wanaigeuza Iran kuwa mashirika wa north Atlantic treaty organization (NATO) kisha wanawageukia north Korea ambaye naye anajifanya mbabe katika masuala ya nuclear.

Wakimwadhibu na kuifanya north Korea kuwa washirika wao basi NATO tayari itakuwa na washirika wengi huku nchi zinazoisapoti urusi zikizidi kupungua jambo linahatarisha usalama wa urusi.

Pia nakusihi tuiombee urusi iichakaze Ukraine katika ngarambe inayaoendelea.

Katekista DIVISHENI FOO maombi yako ni ya muhimu mno.
 
Tusubir ya kwetu vita ya mchanga mchanga sio maji maji tena
 
Back
Top Bottom