much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Watasababisha na west waongeze nguvu kubwaVita ni mkakati hilo shambolio ni kumuogopesha Israel na washirika wake hapo middle east kwamba iran anipiga hadi boss wao
Watasababisha na west waongeze nguvu kubwaVita ni mkakati hilo shambolio ni kumuogopesha Israel na washirika wake hapo middle east kwamba iran anipiga hadi boss wao
Hii vita ni comedy.
Sawa, tunasubiri kurudi kwake.Ndiyo yeye alienda tu kuharibu site za Nuclear weapons kama mwenyekiti wa umoja wa usalama wa dunia,lakini saizi atarudi kama U.S.A rasmi kujibu mashambulizi dhidi yake
Ila irani ni wanaume wallah sikutegemea kama wangexipiga kambi za marekani
Wakati unawaza ivyo jua kuna Russia na china nao wata taka wampige US kupitia iran kama anwvyo fanya US ukraine
iHii vita sio ya kuichukulia kirahisi rahisi tu kwamba Iran Atapigwa na utawala wake utaangushwa na maisha mengine yataendelea, Mpaka kufikia huko Utawala wa Iran kuangushwa basi uchumi wa Dunia hii utakua hautamaniki. Hii Dunia inaweza kushuhudia Matokeo mbalimbali ya hii vita ambayo Hayakutarajiwa, Kuna spring kubwa duniani itatokea, Kuna mataifa yataibuka kua na nguvu kubwa na mengine yatadhohofika sana, Vita sio jambo jema kabisa.
Piga Gaidi mkuu,Marekani,huyo Marekani ndio Gaid Mkubwa.View attachment 3380541
View attachment 3380548
Naona gaidi iran anatapa tapa, sasa ni dhahiri anajichimbia kaburi mwenyewe.
=======
Iran imetekeleza mashambulizi ya kombora dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizoko nchini Qatar na Iraq, kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya kimataifa.
Mashambulizi haya yanakuja kama sehemu ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran.
Piga Gaidi mkuu,MarekaniIlianguka USSR sembuse Iran iliyogawanyika gawanyika
i
Piga Gaidi Mkuu MarekaniSanaaa mkuu
Ila iran anajichimbia kaburi
Tandika Gaid MarekaniBase zingine dhaifu,ya iraq wajeda wamekimbilia shelters kama wayahudi, wakati qatar yametunguliwa matatu matatu yametua
Tandika Magaidi IIsrael,na ndio Magaidi hao IsraelYaan mim Israel ikipigwa hata kama naumwa najisikia kupona nasikia rahaa ajabu nawachukia hap watu mim ,Marekan angekaa pembeni tuone Israel taifa la shetan anakaaje umbwa
Trump kifo kimamuandamqAyatollah kifo kinamuandama sana karibia kinamkamata 😅
Trump presha iko juu,US watamtoa mapvmbv huyo Ayatollah 😅 yaani kitawaka
Yameua magaidi marekaniYameleta madhara gani?
Mkuu, Unafikiri Marekani ni Mjinga kutaka cease fire au kwamba hawezi kumpiga Iran? Iran kakaa kwenye moyo wa uchumi ulipo kwa hivi sasa, we fikiria Iran akifunga njia ya kupita meli za mafuta Hali itakuaje duniani? Much worse akisema mnataka kuangushwa kwa serikali yangu na Mimi naharibu visima vyenu middle east Unafikiri Marekani kutakalika??Ilianguka USSR sembuse Iran iliyogawanyika gawanyika
i
Marekani wangechutuma,wanapigwa kote kote,wanapigwa base zao,wanapigwa Israel,Gaidi Marekani yuko hoi.Kwa hiyo kile kiapo Cha US watajuta, ndio haya maroketi 6?
Irani wangechutama tu aisee.
Hakukaliki,Trump presha iko juuMkuu, Unafikiri Marekani ni Mjinga kutaka cease fire au kwamba hawezi kumpiga Iran? Iran kakaa kwenye moyo wa uchumi ulipo kwa hivi sasa, we fikiria Iran akifunga njia ya kupita meli za mafuta Hali itakuaje duniani? Much worse akisema mnataka kuangushwa kwa serikali yangu na Mimi naharibu visima vyenu middle east Unafikiri Marekani kutakalika??
Kama wewe unavyowapenda wavyaa kamba shingoniKama wewe unavyowapenda kobaz
Gaidi Marekani,anakula kichapo kote kote,nyuma nq mbeleIran sasa kajiingiza kingi mwenyewe, atachapika achakae na sijui kama ataweza kurusha makombora ya masafa marefu mpaka marekani. Marekani yenyewe ina midege ya kutoka kwao moja kwa moja mpaka iran kuibamiza. Mind kwamba ina washirika wake wa kivita NATO. NATO wanaweza kumsaidia mwanachama mwenzao kikamilifu kwani wana mkataba wa kumsaidia vita. Iran ndio basi tena, utawala wa maayatollah unang'olewa