Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

Kipindi kile yule kamanda wa Iran seleman kassim alivyo nyonyolewa Iran ilifanya hivi hivi kwa kurusha makombora kwenye kambi za Marekani kule Iraq . Pamoja na kurusha makombora yale hakuna chochote Marekani ilifanya, sababu ya Marekani kugwaya kipindi kile kuivamia ni namna ambavyo Iran ilikuwa ikitisha kipindi kile kwamba anga lake haliingiliki kirahisi ni moto wakuotea mbali .Sasa atachapika kirahisi maana Israel yupo kule alishaiaza kazi ,kwa hiyo wanaenda kumaliza kazi ambayo Israel ilianza.
Gaidi Marekani,presha iko juu,anapigwa nyuma na mbele,kwenye base zake,na kwa shoga mwenzake Israel,anakula kichapo.
 
Iran kama kawaida anapigaga bila matokeo. Yeye kabondwa kama ngoma ila uwezo wa kulipa kisasi ambacho kina maana hana

Qatar said it had successfully intercepted an Iranian missile attack on the United States’ al-Udeid base, the largest US military facility in the Middle East.

“The Ministry of Defense announced that Qatari air defenses successfully intercepted a missile attack targeting al-Udeid Air Base,” it said in a statement, adding that “the incident did not result in any deaths or injuries.”

Source: Al Arabiya news
Trump anapigwa nyuma na mbele,presha iko juu
 
Trump presha iko juu,anapigwa kote kote,ni aibu kupigwa base zake tatu lwa mpigo
Kabisa Na Story wanazotoa Kuanzia Secretary Rubio, Waziri wa Ulinzi Pete Hegseth na VP zote ziko bias na wanajaribu kuonesha Ulimwengu kuwa Majeshi yao ni bora zaidi
 
Iran sio mchezo aise. Yaani kamnyuka Marekani kwenye military bases tatu kwa mpigo.

Lazima Marekani achanganyikiwe maana Iran hana ahadi feki.
 
Waislam elimu Dunia inawapiga chenga sana
Mashoga wawili wanataka kuharibu mpango wa nuclear wa Iran ambao inaoneka utakuja kuwa na athari kule Israel siku za usoni.

Pia wanataka kumtoa utawalani rafiki yangu wa muda mrefu Ayatollah Khemenei ambaye ameifanya Iran ishamiri kiuchumi pamoja na kuwekewa vikwazo na nchi zenye keherhere kama mkia wa mbuzi zikiongozwa na marekeni.

Kumbuka Iran ndiyo nchi nambari moja katika kuhakikisha taifa la Israel lililoanzishwa kimkakati pale middle east linateketezwa Moja kwa Moja.

Mungu ibariki Iran, Mwachiluwi say amen!
adi
Piga Gaidi mkuu,Marekani
Wa
 
Tafa
View attachment 3380541
View attachment 3380548

Naona gaidi iran anatapa tapa, sasa ni dhahiri anajichimbia kaburi mwenyewe.
=======
Iran imetekeleza mashambulizi ya kombora dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizoko nchini Qatar na Iraq, kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya kimataifa.

Mashambulizi haya yanakuja kama sehemu ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran.
Tafadhali naomba kujua maana ya neno "GAIDI", baada ya hapo niambie nani gaidi kati ya Iran na Marekani!
 
Tafa
Tafadhali naomba kujua maana ya neno "GAIDI", baada ya hapo niambie nani gaidi kati ya Iran na Marekani!
anzia na magaidi wa black september, njoo magaidi wa RENAMO, rudi kwenye magaidi wa al Aqsa brigade maliza na magaidi ya islamic jihad ongeza na magaidi ya al Qaeda, al Shabaab, Boko Haram, Islamic state na matawi yake ndio utajua maana ya ugaidi
 
anzia na magaidi wa black september, njoo magaidi wa RENAMO, rudi kwenye magaidi wa al Aqsa brigade maliza na magaidi ya islamic jihad ongeza na magaidi ya al Qaeda, al Shabaab, Boko Haram, Islamic state na matawi yake ndio utajua maana ya ugaidi
Acdna na huyo oimbi mkuu

Unapoteza energy yako kwa mtu ambae anatumia mihemuko ya kijihad
 
Iran sio mchezo aise. Yaani kamnyuka Marekani kwenye military bases tatu kwa mpigo.

Lazima Marekani achanganyikiwe maana Iran hana ahadi feki.
na ujue kwamba watamshughulikia iran parallel and perpendicular, hawawezi kumuacha salama watamuadhibu tu
 
Lakini si USA ndio wameanzisha uchokozi kwa kuwapiga Iran juzi? Ni aibu iliyoje tena mnamnanga Iran anayejitetea badala ya kumnanga USA aliyeenda kuipiga Iran.

Iran anajua madhaifu yao na ndio mana kawapiga. Na haaogopi chochote kwani hao USA si walishaingia vitani? Waingie mara ngapi sasa
 
Back
Top Bottom