min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Waziri wa ulinzi mkuuHuyu ni waziri wa nini mkuu?
Waziri wa ulinzi mkuuHuyu ni waziri wa nini mkuu?
Hanaanzaga hivi hivi, uku wanaendelea kusema Mungu ni mkubwa Mungu ni mkubwa mara paa... Dunia haina mahali pa kwenda kumdungua mr devil 👿 kwa mawe. Yeye 👿 atakuwa anacheeeka!Iran anachafukwa anapiga bomu pale kwenye jiwe jeusi 😂
Ajichimbie kaburi mara ngapi Mkuu, Taifa gani litang'ang'ana kupambana na USA yenye militaries bases zaidi ya 600 duniani?Sanaaa mkuu
Ila iran anajichimbia kaburi
US iliishia iwa Bush ,hii ya saivi ni mbwa koko tu hana mikwala ya kutisha labda kwa sh*thole states tuUS watamtoa mapvmbv huyo Ayatollah 😅 yaani kitawaka
Haya mazayuni yatamtoa kizazi, sema nini, hata wakimwahisha atapata bikra wake 72,.Ayatollah nasikia kajificha chini kabisaaa ya milima huko Iran, na hana mawasiliano ya simu wala Internet, yaani kashakabidhi madaraka kwa IRGC maana kaona anytime watammaliza, ila anatoa order kwa vimemo tu.
Imagine sasa tuko vitani na huyu ndio waziri wetu wa ulinzi...dah!Waziri wa ulinzi mkuu
Bado mapema sanaYameleta madhara gani?
Kazi imesha kuwa kazi... Trump nae alazi damu Kuna base za jeshi huko Tehran inabidi wahamishe ndege za gharam maana wanaenda kupigwa na kitu kizitoTrump ana majibu machungu na makali kali yaani anaweza kukutuka hata Pussy la mother yako katikati ya media huyo jamaa 😂😂😂😂
Hahaha 😂Bonge la kamanda juha!
Tunavunja sheria.Sheria za vita haziruhusu
Hahaha 😂Makobaz tulieni soon mnalambwa
Inachekesha.Walisema Hawana uwezo wa kupiga katika Kambi za jeshi target Yao ni 0 😀😀😀😀😀
Iran ni tondo tundu
Vita ni mkakati hilo shambolio ni kumuogopesha Israel na washirika wake hapo middle east kwamba iran anipiga hadi boss waoMimi naona kazingua bora angeendelea kumchakaza Israel mdogo mdogo mpaka aishe