secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha 😂, noma sana.Yaan sio mambo ya Dini wala nin israel mchokozi mno,niliona raia wake wanakimbilia france wanazomewa 😂😂😂
Hahaha 😂, noma sana.Yaan sio mambo ya Dini wala nin israel mchokozi mno,niliona raia wake wanakimbilia france wanazomewa 😂😂😂
Bonge la kamanda juha!Mi nengeua watu pamoja na viumbe wengine wasio na hatia.
Roho ya mauti i malangoni pake lazima afe tu! Kwaheri Ayatollah.Ayatollah kifo kinamuandama sana karibia kinamkamata 😅
Angerusha tu bila sababu?Sema kwa Confidencs hii ya Hawa Iran ni halali tu kwa Israeli na USA kupanick kuona jamaa wana enrich Uranium, Hivi mfano saiv jamaa angekua na Uranium ready, Si angerusha Newyork
Panazidi kuchangamka
Roho ya mauti i malangoni pake lazima afe tu! Kwaheri Ayatollah.
Ww una uwezo gn kijeshi, mana tusije kuchukua mtu asiye na faida 😎😅😅 Basi mie nifanyie mpango nipate hata store, hali ni mbaya,
Sheria za vita haziruhusuIran si irushe tu hayo makombora kwenye makazi ya watu?
Hakuna haja ya ku target sehemu za kijeshi tu, ya raia ovyo ovyo!
Makobaz tulieni soon mnalambwaHii ndiyo furaha yangu 😎
Waongo tu hawa.Iran kama kawaida anapigaga bila matokeo. Yeye kabondwa kama ngoma ila uwezo wa kulipa kisasi ambacho kina maana hana
Qatar said it had successfully intercepted an Iranian missile attack on the United States’ al-Udeid base, the largest US military facility in the Middle East.
“The Ministry of Defense announced that Qatari air defenses successfully intercepted a missile attack targeting al-Udeid Air Base,” it said in a statement, adding that “the incident did not result in any deaths or injuries.”
Source: Al Arabiya news
Kwahili nawaunga mkono in some situations peace is a crime
Walisema Hawana uwezo wa kupiga katika Kambi za jeshi target Yao ni 0 😀😀😀😀😀Iran si irushe tu hayo makombora kwenye makazi ya watu?
Hakuna haja ya ku target sehemu za kijeshi tu, ya raia ovyo ovyo!
Hakuna watakuwa walishawatoa watu wao humo. Na natabir wala marekan haitajibu maana hakutakuwa na madhara makubwa kiivyoKama kweli yamerushwa basi marekani amepata sababu ya kushinda Iran masaa 24 akiteketeza
Nchi maskini zinapenda kupigana kama ilivyo tu kwenye maisha maskini wanapenda kupigana kulinganisha na matajiri.