Mbona hii habari ilishapostiwa
Kumbe alikuwa bado hajapata sababu!?Kama kweli yamerushwa basi marekani amepata sababu ya kushinda Iran masaa 24 akiteketeza
Unawapenda Israel kwa mahaba mazito sanaIran anaendelea kujichimbia matatizoni tu,.
Atakuwa na makombora ya kupiga nchi zote hizo na huku Israel anawinda na kuyalipua?
Nathani apo upo miguu juu unasoma coment kwa rahaaπππHii ndiyo furaha yangu π
Mmmmh hamkosi cha kuitetea US/IsraelHii ndiyo furaha yangu π
Ulijuaje mkuu πNathani apo upo miguu juu unasoma coment kwa rahaaπππ
Mkuu Mimi ningekuwa mrushaji wa hayo makombora kwa akili yangu mengine ningeyarusha kwenye makazi ya watu makusudi ili niwaue nifurahi.Nathani apo upo miguu juu unasoma coment kwa rahaaπππ
Naelewa burdani yako mkuuuπππ siunajua humu dunian kila mtu na starehe yakeeUlijuaje mkuu π