Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Ni mtoto labda ndio hajui kuwa hamas na hezbollah ni midori ya Iran.
Iran atafanikisha lolote lile liendalo na utapeli wake hata kwa gharama ya damu ya watu wake wenyewe.
Nini haswa madhumuni ya Iran,
kufanikisha kupatikana haki kwa walebanon na wapalestina??????
Hapana madhumuni ya Iran ni kuifanikisha itikadi yake ya gharama ya damu dhidi ya mkristo, myahudi na nchi za magharibi, maana ni haki gani hio wanayoitafuta wakati wananchi wake wenyewe wanaililia kwa maana wanaikosa Iran.
Some people just enjoy to watch the world burn ❤️🔥, and that's Iran.