Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hii ndio ilipaswa kuwa heading ya uzi wako.Iran inadai imeshinda Vita
Chuki za kidini ni hatari kwa mustakabali wa amani ya Dunia! Mleta mada andiko lako umeliandika kwa mlengo wa kidini ingawa umejitahidi kujificha ila wenye d 3 tumegundua
Anaogopa kuuwawa
Hii ndio ilipaswa kuwa heading ya uzi wako.
Hakuna chochote walichoshinda hao stupid radical islamists.🚮
View attachment 3621070
Hivi wewe unayo akili nzuri kweli? Unavyosema Iran imeshinda vita unafikiria vizuri? Vita gani ambayo Iran Imeshinda?Hamjambo!
Hakuna ambaye alikuwa na mahusiano mazuri na Baba yake alafu siku mzee amedanja akubali kirahisi kutohudhuria mazishi ya mzee wake. Tena kwa nafasi kubwa aliyonayo ya Ayatolla.
Iran inadai imeshinda Vita. Naamini wanamaanisha kuzuia lengo la kulinda dola Lao lisiangushwe na Marekani na Israel. Huo kwao ni ushindi.
Ila bado inaonekana Kuna tishio LA kiusalama. Na hawana uhakika wa ulinzi wa kutosha kumlinda Ayatolla Mojtaba Khamenei.
Au Pengine Mojtaba alijeruhiwa Vibaya sana kiasi kwamba ameathirika viungo hivyo wanafikiria watamtoaje.
Albu au kuepuka usumbufu wa kumbeba kiongozi wao.
Ijumaa Kareem
Wale wanafuata misingi ya Uislam ambapo taratibu za kuzika zimewekwa wazi, kuwa Akisha kuwepo muwakilishi wa familia inatosha...sio lazima kusubiriana kama nyie mnavyoweka marehemu mochwari kwa mawiki eti mnasubiri sijui mtoto wa marehemu atoke ulaya? Pengine kijana wa watu hana hata nauli, huku nyumbani anasubiriwa???Hamjambo!
Hakuna ambaye alikuwa na mahusiano mazuri na Baba yake alafu siku mzee amedanja akubali kirahisi kutohudhuria mazishi ya mzee wake. Tena kwa nafasi kubwa aliyonayo ya Ayatolla.
Iran inadai imeshinda Vita. Naamini wanamaanisha kuzuia lengo la kulinda dola Lao lisiangushwe na Marekani na Israel. Huo kwao ni ushindi.
Ila bado inaonekana Kuna tishio LA kiusalama. Na hawana uhakika wa ulinzi wa kutosha kumlinda Ayatolla Mojtaba Khamenei.
Au Pengine Mojtaba alijeruhiwa Vibaya sana kiasi kwamba ameathirika viungo hivyo wanafikiria watamtoaje.
Albu au kuepuka usumbufu wa kumbeba kiongozi wao.
Ijumaa Kareem
kwamba Marekani na waIran ni ndugu ?!!Ndugu wakigombana bebeni majembe mkalime
Hata ukigundua utafanya nini wewe nyumbuChuki za kidini ni hatari kwa mustakabali wa amani ya Dunia! Mleta mada andiko lako umeliandika kwa mlengo wa kidini ingawa umejitahidi kujificha ila wenye d 3 tumegundua
Tusiwatukane hao kwa unavyoona nchi yako ya wadnganyika wakristu wa mwamposa + BAKITA je kwa jeshi lao wangeweza ku handle pressure ya USA?Hii ndio ilipaswa kuwa heading ya uzi wako.
Hakuna chochote walichoshinda hao stupid radical islamists.🚮
View attachment 3621070
Hivi wewe unayo akili nzuri kweli? Unavyosema Iran imeshinda vita unafikiria vizuri? Vita gani ambayo Iran Imeshinda?
Ndugu wakigombana bebeni majembe mkalime
Wale wanafuata misingi ya Uislam ambapo hukumu ya kuzika imewekwa wazi, kuwa Akisha kuwepo muwakilishi wa familia inatosha...sio lazima kusubiriana kama nyie mnavyoweka watu mochwari kwa masiku hadi mawiki mkisubiriana.
Ujumbe ni kwamba vitukuu vya Ibrahim vinapogombana msichague upande🥲Ujumbe gani tunaupata?
Alisema na huwa wanasema hawaogopi kufa.Nitashangaa sana kama kwa sasa ndicho anachoogopa.Anaogopa kuuwawa
Sasa kwani ni lazima ukishinda vita basi utokee kwenye mazishi ya fulani?Ndivyo inavyosemwa na wengi. Ndio maana hii Mada ipo hapa. Kwamba kama Iran imeshinda Vita, iweje Mojtaba hatokei kumzika mzee wake?