Iran imeshinda Vita lakini Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya Babaake. Inakupa ujumbe gani?

Iran imeshinda Vita lakini Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya Babaake. Inakupa ujumbe gani?

Sasa hayo ni malengo yao ya siku zote sio ya hii vita mkuu,
Malengo ya hii vita yalikuwa regime change yamefikiwa?
Unajua jaribu kuweka mapenzi na ushabiki pembeni vinginevyo huwezi kuuona uhalisia.

Ndio maana nikasema Iran ameshinda. Sasa upande mwingine nauliza mshindi anawezaje kujificha kufikia hatua kuna uwezekano hatamzika Babaake. Huko aliowashinda wanatanua tuu
 
Hamjambo!

Hakuna ambaye alikuwa na mahusiano mazuri na Baba yake alafu siku mzee amedanja akubali kirahisi kutohudhuria mazishi ya mzee wake. Tena kwa nafasi kubwa aliyonayo ya Ayatolla.

Iran inadai imeshinda Vita. Naamini wanamaanisha kuzuia lengo la kulinda dola Lao lisiangushwe na Marekani na Israel. Huo kwao ni ushindi.

Ila bado inaonekana Kuna tishio LA kiusalama. Na hawana uhakika wa ulinzi wa kutosha kumlinda Ayatolla Mojtaba Khamenei.

Au Pengine Mojtaba alijeruhiwa Vibaya sana kiasi kwamba ameathirika viungo hivyo wanafikiria watamtoaje.
Albu au kuepuka usumbufu wa kumbeba kiongozi wao.

Ijumaa Kareem
Iran imeshinda vita ipi, we kwl hamnazo! Hao waajemi km siyo huo mlango wa Hormuz wangeshateketezwa
 
Kwani hiyo vita ipo kidini?

Mimi nimeleta mjadala. Iran imesema imeshinda vita lakini mbona kiongozi wake mkuu mpaka leo yupo mafichoni? Tena anakuwa kama Maria Sarungi anashindwa kumzika Babaake,
Hilo kwako ni jambo la kawaida?
Umekagua watu wote kwenye tukio? .
 
Mtu aliyeshinda hawezi kujificha au kuishi kwa hofu ya kumuogopa alive mshindani.

Hiyo ni Logically ya kawaida.
Kwamba wewe upigane na mimi. Unipige. Then wewe wewe uogope kutembea mitaani. Alafu mimi uliyenipiga natamba tuu huko na huko kwa uhuru na amani zote.

Kweli?
beware of the unguarded moment.
 
Sio inavyosemwa tu. Go deep.

Soma malengo ya vita ya US katika vita hii yaliyotajwa kwa ufasaha na Donald Trump pale mwanzoni kabisa kama kuna lililotimia. Israel haikuweka malengo yake wazi bali ilishirikiana na Marekani katika vita hii. Lakini inajulikana tangu awali kuwa lengo kuu la Israiel ni kuangamiza utawala wa kitheokrasia wa Iran kuvunja nguvu ya kivita ya taifa hilo na hivyo kuondoa tishio lolote linaloweza kuzuia Israel isitawale Mashariki ya Kati ikiwa super power pekee eneo hilo.

Irani ilishtukizwa katikati ya mazungumzo ya amani hivyo inajulikana kuwa malengo yake yalikuwa kuzuia Marekani na Israel wasiondoe utawala wao (wa Ayatollah na IRGC) na kuzuia kutekwa kwa nchi yao. Walipata kipigo kikubwa sana kwa viongozi wao wote kuuawa (kwa kuviziwa). Silaha zao kubwa nyingi ziliharibiwa na wapiganaji na raia wao wengi wengi (pamoja na watoto wa shule 160) waliuawa.

Lakini Iran kwa kutumia teknolojia rahisi ya drones, AI, na makombora machache waliweza kuharibu vituo vingi vya kijeshi vya Marekani huko Mashariki ya Kati, kuua wanajeshi 13 wa US na kujeruhi wengine kama 140 hivi. Pia kubomoa mifumo ya rada, kuangusha ndege za vita, n.k. na, KIKUBWA ZAIDI, kudhibiti pito la bahari la Hormuz. Meli zaidi ya elfu 20 zilikwama. Hadi leo Iran wanadhibiti pito hilo na kukusanya tozo ambayo haikuwepo awali. Dunia nzima inateseka kwa uhaba na kupanda bei ya mafuta.

Marekani haikuwa na namna zaidi ya kutaka mazungumzo ya amani TENA. Juzi hapa Trump aliulizwa kuhusu kuwabana Iran wasiwe na ballistic missiles akasema haitakuwa haki kwani Saudi Arabia, Israel, na majirani wengine wanazo. Hivyo Iran nao lazima wawe nazo! Hataki hata kuongelea kuwadhibiti Houthi na Hezbollah. Kawaachia msala Israel.

Hadi hapo, soma yanayoendelea upime na kuamua mwenyewe kama Iran hadi sasa wameshinda vita au vipi katika malengo yote yaliyosemwa kuhusu vita hii.
 
Hamjambo!

Hakuna ambaye alikuwa na mahusiano mazuri na Baba yake alafu siku mzee amedanja akubali kirahisi kutohudhuria mazishi ya mzee wake. Tena kwa nafasi kubwa aliyonayo ya Ayatolla.

Iran inadai imeshinda Vita. Naamini wanamaanisha kuzuia lengo la kulinda dola Lao lisiangushwe na Marekani na Israel. Huo kwao ni ushindi.

Ila bado inaonekana Kuna tishio LA kiusalama. Na hawana uhakika wa ulinzi wa kutosha kumlinda Ayatolla Mojtaba Khamenei.

Au Pengine Mojtaba alijeruhiwa Vibaya sana kiasi kwamba ameathirika viungo hivyo wanafikiria watamtoaje.
Albu au kuepuka usumbufu wa kumbeba kiongozi wao.

Ijumaa Kareem
Mwewe yupo angani, watching very closely
 
Hivi wewe unayo akili nzuri kweli? Unavyosema Iran imeshinda vita unafikiria vizuri? Vita gani ambayo Iran Imeshinda?
Vita ya mwezi wa pili 2026 Iran ameshinda dhidi ya Israel na Marekani. Matokeo ya vita Iran italipwa $300 billions za ukarabati na fidia za uharibifu kutoka Marekani na gulf nations. Una lingine la KUROPOKA KIJANA!?
 
Vita ya mwezi wa pili 2026 Iran ameshinda dhidi ya Israel na Marekani. Matokeo ya vita Iran italipwa $300 billions za ukarabati na fidia za uharibifu kutoka Marekani na gulf nations. Una lingine la KUROPOKA KIJANA!?
We mtoto Iran haijashinda vita yoyote, Marekani haatolipa chochote kwa Iran,

The U.S. and Iran signed a memorandum of understanding establishing a framework for up to $300 billion in international economic and reconstruction investment, though the exact funding mechanisms remain highly debated and largely undefined.
Key details of the arrangement include:
  • The $300 Billion Fund: The money is not coming from U.S. taxpayer dollars or the U.S. Treasury. The agreement states the U.S. will work with regional partners to secure this investment, though it is still unclear exactly which countries or companies will provide the capital.
  • Strict Conditions: The fund is contingent on Iran complying with strict conditions and ending its nuclear pursuits.
  • Frozen Assets: Separately, the deal allows Iran phased access to around $24 billion to $100 billion of its own historical oil revenues that were frozen in overseas bank accounts.
 
Iran hajashinda maana kapoteza viongozi wengi na yeye alikuwa wa mwisho kukiri, Israel akiwa wa kwanza kukiri kuwa wamekufa
 
Back
Top Bottom