Hata yeye anaona ila ameamua kujizima data.Ila uandishi wako ni kama unamshadadia mzayuni🤔🤔wewe huwezi kuona ila sisi tunaosoma tunaona.
Hata yeye anaona ila ameamua kujizima data.Ila uandishi wako ni kama unamshadadia mzayuni🤔🤔wewe huwezi kuona ila sisi tunaosoma tunaona.
Sasa hayo ni malengo yao ya siku zote sio ya hii vita mkuu,Hilo lipo wazi Mkuu.
Iran asifiwe tuu kwa kuweza kupambana na kujitetea asipokwe Dola lake. Ila kipigo kapokea.
Bora hata maria sarungi anajulikana alipo huyo mwingine hata shimo ambalo kajificha halijulikan kabisaKwani hiyo vita ipo kidini?
Mimi nimeleta mjadala. Iran imesema imeshinda vita lakini mbona kiongozi wake mkuu mpaka leo yupo mafichoni? Tena anakuwa kama Maria Sarungi anashindwa kumzika Babaake,
Hilo kwako ni jambo la kawaida?
Unajifanya upo neutral ila maandishi Yako yanakusaliti ...Kuna unafiki mwingi sana kwenye post zakoKwani hiyo vita ipo kidini?
Mimi nimeleta mjadala. Iran imesema imeshinda vita lakini mbona kiongozi wake mkuu mpaka leo yupo mafichoni? Tena anakuwa kama Maria Sarungi anashindwa kumzika Babaake,
Hilo kwako ni jambo la kawaida?
Acheni uongo, Umemuweka hapo Ahmed vahidi mbona yupo hai, hata Mohammed Zolghadr yupo hai. JF imejaa uongo sana siku hiziHii ndio ilipaswa kuwa heading ya uzi wako.
Hakuna chochote walichoshinda hao stupid radical islamists.🚮
View attachment 3621070
Hamjambo!
Hakuna ambaye alikuwa na mahusiano mazuri na Baba yake alafu siku mzee amedanja akubali kirahisi kutohudhuria mazishi ya mzee wake. Tena kwa nafasi kubwa aliyonayo ya Ayatolla.
Iran inadai imeshinda Vita. Naamini wanamaanisha kuzuia lengo la kulinda dola Lao lisiangushwe na Marekani na Israel. Huo kwao ni ushindi.
Ila bado inaonekana Kuna tishio LA kiusalama. Na hawana uhakika wa ulinzi wa kutosha kumlinda Ayatolla Mojtaba Khamenei.
Au Pengine Mojtaba alijeruhiwa Vibaya sana kiasi kwamba ameathirika viungo hivyo wanafikiria watamtoaje.
Albu au kuepuka usumbufu wa kumbeba kiongozi wao.
Ijumaa Kareem
Akili kumkichwa!Ukiambiwa changanyia na zako na za baba yako!Kwenye mada yako unaongelea mambo matatu tofauti kabisa:
1. Suala la kushinda vita.
2. Suala la tishio la kiusalama
3. Suala la kushiriki nazidi
1. Kushinda vita,
Wewe maoni yako nini ikiwa malengo ya Vita yalifahamika wazi swali ni je yamefabikiwa kutimizwa? Hapo utajijibu nani kushinda.
A. Malengo ya USA & Israel yalikuwa regime change wamefanikiwa?
B. Malengo ya Iran yalikuwa kuzuia regime change yamefanikiwa?
2. Tishio la kiusalama sio geni eti Iran ndio nchi ya kwanza kuchukua hatua ilikulinda kiongozi wake mkuu.
3. Mazishi ni suala linaloendana na hilo la pili hapo kama bado kuna moles ndani ya walinzi bado hawajajihakikishia 100â„… ya kuwaondoa kuna kosa gani wakiamua kuendelea kumficha?
Mwisho, kuua viongozi sio suala la kushinda vita Iran sera yao sio kulenga viongozi ndio maana hata fat'wa iliyotolewa juzi ya kuwaua Netanyahu na Trump bado nikipiga.
Thibitisha kama wapo hai bro. We unaaminika sana humu JF.Acheni uongo, Umemuweka hapo Ahmed vahidi mbona yupo hai, hata Mohammed Zolghadr yupo hai. JF imejaa uongo sana siku hizi
Yapo maeneo Iran kashindq Hilo nakubali.
Ila kuendelea kujificha kwa Mojtaba kunatoa ujumbe mwingine kabisa. K
Huyo ayattolah amefariki lini!?sio lazima kusubiriana kama nyie mnavyoweka marehemu mochwari kwa mawiki
Kwenye maisha sikuzote huwa kuna tishio la kuuwawa! Ndo mana mnavuka barabara kwa utulivu hamfanyi.mambo kama mmechanganyikiwa!
Kiongozi mkubwa kuchukuliwa tahadhari ni hali ya kawaida. Haihitaji degree 4 kujua hilo nchi bado iko kwenye tension!
Kuna tofauti kati ya kushinda vita na adui ku retreat.
Ujumbe mafuta Bado bei IPO juu
Kiufupi tu nikwamba jamaa hawezi kwenda kuzika kwasabu kwa sasa hana miguu
Unajifanya upo neutral ila maandishi Yako yanakusaliti ...Kuna unafiki mwingi sana kwenye post zako
Nadhani yote mawili! Usalama au aibu ya kuonekana hadharani akibebwa au kusukumwa kwa wheel chair.