Chizi Msomi
Senior Member
- Jun 23, 2026
- 140
- 272
Kwenye mada yako unaongelea mambo matatu tofauti kabisa:
1. Suala la kushinda vita.
2. Suala la tishio la kiusalama
3. Suala la kushiriki nazidi
1. Kushinda vita,
Wewe maoni yako nini ikiwa malengo ya Vita yalifahamika wazi swali ni je yamefabikiwa kutimizwa? Hapo utajijibu nani kushinda.
A. Malengo ya USA & Israel yalikuwa regime change wamefanikiwa?
B. Malengo ya Iran yalikuwa kuzuia regime change yamefanikiwa?
2. Tishio la kiusalama sio geni eti Iran ndio nchi ya kwanza kuchukua hatua ilikulinda kiongozi wake mkuu.
3. Mazishi ni suala linaloendana na hilo la pili hapo kama bado kuna moles ndani ya walinzi bado hawajajihakikishia 100℅ ya kuwaondoa kuna kosa gani wakiamua kuendelea kumficha?
Mwisho, kuua viongozi sio suala la kushinda vita Iran sera yao sio kulenga viongozi ndio maana hata fat'wa iliyotolewa juzi ya kuwaua Netanyahu na Trump bado nikipiga.
Sasa kwani ni lazima ukishinda vita basi utokee kwenye mazishi ya fulani?
Na kama ukutokea inaondoa ushindi wako?
Kwamba ushindi wa vita wa Iran unauamua kwa maudhurio ya Mojtaba kwenye mazishi ya baba ake?
Halafu swala la Iran kushinda vita ni kweli ameshinda sio porojo.
Inawezekana amepoteza battle lakini vita kushinda Iran ameshinda kwa 100%.
Ukitaka kujua Iran ameshinda vita jiulize malengo ya US na Israel kuingia vitani na Iran ni yapi?
Je yametimia baada ya vita kuisha?
Kwenye mada yako unaongelea mambo matatu tofauti kabisa:
1. Suala la kushinda vita.
2. Suala la tishio la kiusalama
3. Suala la kushiriki nazidi
1. Kushinda vita,
Wewe maoni yako nini ikiwa malengo ya Vita yalifahamika wazi swali ni je yamefabikiwa kutimizwa? Hapo utajijibu nani kushinda.
A. Malengo ya USA & Israel yalikuwa regime change wamefanikiwa?
B. Malengo ya Iran yalikuwa kuzuia regime change yamefanikiwa?
2. Tishio la kiusalama sio geni eti Iran ndio nchi ya kwanza kuchukua hatua ilikulinda kiongozi wake mkuu.
3. Mazishi ni suala linaloendana na hilo la pili hapo kama bado kuna moles ndani ya walinzi bado hawajajihakikishia 100℅ ya kuwaondoa kuna kosa gani wakiamua kuendelea kumficha?
Mwisho, kuua viongozi sio suala la kushinda vita Iran sera yao sio kulenga viongozi ndio maana hata fat'wa iliyotolewa juzi ya kuwaua Netanyahu na Trump bado nikipiga.
Ujumbe ni kwamba vitukuu vya Ibrahim vinapogombana msichague upande🥲
Tutumie neno kutoonekana hadharani badala ya neno kujificha.Yapo maeneo Iran kashindq Hilo nakubali.
Ila kuendelea kujificha kwa Mojtaba kunatoa ujumbe mwingine kabisa. K
Kwamba Trump na Netanyahu "walioshindwa" wapo huru, wanaenda popote wanapotaka, ila "mshindi" Mojtaba amepiga kambi ya kudumu ndani ya shimoni kama Fuko??Iran inadai imeshinda Vita
Ila uandishi wako ni kama unamshadadia mzayuni🤔🤔wewe huwezi kuona ila sisi tunaosoma tunaona.Hatuchagui upande
Huu ni mjadala tuu.
Wewe umepigana na adui yako. Baada ya vita Kuisha. Kila mmoja anadai ameshinda.
Mwenzako tunamuona kila siku akiranda randa mitaani huko akitamba, wewe umejificha. Ninashindwa kuelewa umeshindaje ilhali unajificha?
Ila uandishi wako ni kama unamshadadia mzayuni🤔🤔wewe huwezi kuona ila sisi tunaosoma tunaona.
😂😂😂ila kweli wamenyukwaNashadadia uhalisia Mara nyingi.
Mtu aliyepigwa anaonekana tuu.
😂😂😂ila kweli wamenyukwa
Kama hajahudhuria ya mkewe, ni kivipi atahudhuria ya baba yake Mkuu?
Okay sawa Boss Israel-USA wameshinda vita mkuuSera ya Israel ni kulenga viongozi wa adui.
Hivyo unaniambia kwamba Iran imeshinda vita lakini kiongozi wake ataendelea kujificha hivyo mpaka lini?
Moja ya malengo ya Israel na Marekani ni kuua viongozi wa Iran ambapo Hilo alilifanya kwa 100%
Okay sawa Boss Israel-USA wameshibda vita mkuu
Kifupi vita bado hawajashinda.Ndio hapo ushindi wa Iran unakuwa Kioja.
Unashindaje vita then bado uogope tishio la kiusalama mpaka ifikie hatua ujifiche na ushindwe kuishi kwa uhuru kama mshindi?
Kifupi vita bado hawajashinda.
Ni sawa tu na waandamanaji wa Tanzania, mitandaoni wanatishia kwamba wapo tayari kufa, ila cha ajabu serikali ikiweka barabarani askari wenye silaha, wale waliosema hawaogopi kufa wanaanza tena kujiliza liza kama wasimbe.Alisema na huwa wanasema hawaogopi kufa.Nitashangaa sana kama kwa sasa ndicho anachoogopa.
Iran wameionyesha dunia ni wanaume wa shoka haswa