Iran imeshinda Vita lakini Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya Babaake. Inakupa ujumbe gani?

Kwani hiyo vita ipo kidini?

Mimi nimeleta mjadala. Iran imesema imeshinda vita lakini mbona kiongozi wake mkuu mpaka leo yupo mafichoni? Tena anakuwa kama Maria Sarungi anashindwa kumzika Babaake,
Hilo kwako ni jambo la kawaida?
Bora hata maria sarungi anajulikana alipo huyo mwingine hata shimo ambalo kajificha halijulikan kabisa
 
Kwani hiyo vita ipo kidini?

Mimi nimeleta mjadala. Iran imesema imeshinda vita lakini mbona kiongozi wake mkuu mpaka leo yupo mafichoni? Tena anakuwa kama Maria Sarungi anashindwa kumzika Babaake,
Hilo kwako ni jambo la kawaida?
Unajifanya upo neutral ila maandishi Yako yanakusaliti ...Kuna unafiki mwingi sana kwenye post zako
 
Akili kumkichwa!Ukiambiwa changanyia na zako na za baba yako!
 
Kwenye maisha sikuzote huwa kuna tishio la kuuwawa! Ndo mana mnavuka barabara kwa utulivu hamfanyi.mambo kama mmechanganyikiwa!
Kiongozi mkubwa kuchukuliwa tahadhari ni hali ya kawaida. Haihitaji degree 4 kujua hilo nchi bado iko kwenye tension!
Kuna tofauti kati ya kushinda vita na adui ku retreat.
 

Mtu aliyeshinda hawezi kujificha au kuishi kwa hofu ya kumuogopa alive mshindani.

Hiyo ni Logically ya kawaida.
Kwamba wewe upigane na mimi. Unipige. Then wewe wewe uogope kutembea mitaani. Alafu mimi uliyenipiga natamba tuu huko na huko kwa uhuru na amani zote.

Kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…