Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hamjambo!
Hakuna ambaye alikuwa na mahusiano mazuri na Baba yake alafu siku mzee amedanja akubali kirahisi kutohudhuria mazishi ya mzee wake. Tena kwa nafasi kubwa aliyonayo ya Ayatolla.
Iran inadai imeshinda Vita. Naamini wanamaanisha kuzuia lengo la kulinda dola Lao lisiangushwe na Marekani na Israel. Huo kwao ni ushindi.
Ila bado inaonekana Kuna tishio LA kiusalama. Na hawana uhakika wa ulinzi wa kutosha kumlinda Ayatolla Mojtaba Khamenei.
Au Pengine Mojtaba alijeruhiwa Vibaya sana kiasi kwamba ameathirika viungo hivyo wanafikiria watamtoaje.
Albu au kuepuka usumbufu wa kumbeba kiongozi wao.
Ijumaa Kareem
We kweli kiazi, hizo $ 300 billions zinatoka USA baadhi yake. Trump alikanusha ila maseneta wamesema ukweli.We mtoto Iran haijashinda vita yoyote, Marekani haatolipa chochote kwa Iran,
The U.S. and Iran signed a memorandum of understanding establishing a framework for up to $300 billion in international economic and reconstruction investment, though the exact funding mechanisms remain highly debated and largely undefined.
Key details of the arrangement include:
- The $300 Billion Fund: The money is not coming from U.S. taxpayer dollars or the U.S. Treasury. The agreement states the U.S. will work with regional partners to secure this investment, though it is still unclear exactly which countries or companies will provide the capital.
- Strict Conditions: The fund is contingent on Iran complying with strict conditions and ending its nuclear pursuits.
- Frozen Assets: Separately, the deal allows Iran phased access to around $24 billion to $100 billion of its own historical oil revenues that were frozen in overseas bank accounts.
Je utawala wa kishia umeanguka!??Iran hajashinda maana kapoteza viongozi wengi na yeye alikuwa wa mwisho kukiri, Israel akiwa wa kwanza kukiri kuwa wamekufa
We mtoto jifunze,We kweli kiazi, hizo $ 300 billions zinatoka USA baadhi yake. Trump alikanusha ila maseneta wamesema ukweli.
-Frozen assets za Iran zilishikiliwa zaidi ya miongo mitatu, kitendo cha Marekani kukubali kuziachilia huo ni ushindi kwa Iran maana Iran inaenda kujiimarisha zaidi.
-Iran ilikataa kuihusisha nuclear kwenye makubaliano na hata wiki zilizopita walikataa kuwaruhusu IAEA inspectors kukagua Iran nuclear sites.
Uliyoyaelezea tayari inaonesha Iran ameshinda. Hata kama hizo pesa zote zinatoka kwa gulf states inamaana Marekani ameshindwa kuwalinda majamaa zake na amewasababishia hasara ya war reparation.
KIAZI KIKUU WEWE.
Vita ya mwezi wa pili 2026 Iran ameshinda dhidi ya Israel na Marekani. Matokeo ya vita Iran italipwa $300 billions za ukarabati na fidia za uharibifu kutoka Marekani na gulf nations. Una lingine la KUROPOKA KIJANA!?
Usiropoke kama huna unalojua. Aliyekataa mazungumzo ni Iran sio Marekani. Wiki hii hii Trump ameropoka tena akisema kama Iran haitarudi mezani atalipua madaraja na vituo vya umeme. Usituchukulie sie makalio we do have details on this.We mtoto jifunze,
Kwa taarifa yako hata huyo Trump ameshayakaa mazungumzo na Iran, na amewaita kuwa ni watu wajinga.
Hataki tena mazungumzo na makubaliano yalikuwa hayajafikiwa.
Endelea kujifurahisha kijana.
Kashauawa ww unachezea Israel mpaka ameandikwa katika Quran kuwa ni malaika mtoa roho Wacha awatoe roho YESU ni jibuHamjambo!
Hakuna ambaye alikuwa na mahusiano mazuri na Baba yake alafu siku mzee amedanja akubali kirahisi kutohudhuria mazishi ya mzee wake. Tena kwa nafasi kubwa aliyonayo ya Ayatolla.
Iran inadai imeshinda Vita. Naamini wanamaanisha kuzuia lengo la kulinda dola Lao lisiangushwe na Marekani na Israel. Huo kwao ni ushindi.
Ila bado inaonekana Kuna tishio LA kiusalama. Na hawana uhakika wa ulinzi wa kutosha kumlinda Ayatolla Mojtaba Khamenei.
Au Pengine Mojtaba alijeruhiwa Vibaya sana kiasi kwamba ameathirika viungo hivyo wanafikiria watamtoaje.
Albu au kuepuka usumbufu wa kumbeba kiongozi wao.
Ijumaa Kareem
Kashauawa ww unachezea Israel mpaka ameandikwa katika Quran kuwa ni malaika mtoa roho Wacha awatoe roho YESU ni jibu
Iran hajakataa mazungumzo, Wamekataa kuachana na mpango wa nuklia.Usiropoke kama huna unalojua. Aliyekataa mazungumzo ni Iran sio Marekani. Wiki hii hii Trump ameropoka tena akisema kama Iran haitarudi mezani atalipua madaraja na vituo vya umeme. Usituchukulie sie makalio we do have details on this.
Nenda kamsome Araghchi. Iran imekataa mazungumzo kwasababu Lebanon na Gaza haikuzingatiwa kwenye ceasefire. Na ndio maana Trump anatishia kuvunja madaraja na miundombinu ya umeme yote kama Iran haitarudi mezani.Iran hajakataa mazungumzo, Wamekataa kuachana na mpango wa nuklia.