- Source #1
- View Source #1
Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel
Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako hawasikilizi, si kosa letu. Yeyote leo kwenye ardhi ya Iran anayetoa sauti au wimbo kutoka kooni mwake ambao unalingana na adui,miguu yake iko chini ya Tel Aviv na kichwa chake ni Netanyahu. Amri ya kumpiga risasi imetolewa.
Niwaambie tu hili kwasababu hamna aliewahi kuwaambia hatutaki mtoto wako auawe kwisa ujinga wake au kutoelewa kwake" -Salar Velayatmadar kamanda wa ngaiz ya juu jeshi la IRGC
Katika kufuatilia uhalisia wa chapisho hilo, tumefanya uhakiki kwa kuangalia jina la Salar Velayatmadar kama linapatikana miongoni mwa viongozi au makamanda wa kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Katika uchunguzi wetu mtandaoni, tulibaini kuwa tovuti ya Tehran Times imewahi kuchapisha habari inayomtaja Velayatmadar ikimnukuu akiwa na cheo cha mbunge nchini Iran, na si kamanda mkuu wa IRGC.
Hivyo basi, madai yanayosema kuwa Salar Velayatmadar
ni kiongozi mkuu wa IRGC yanaonekana kuwa ya kupotosha umma, hasa katika kipindi hiki ambacho Iran inapitia hali ya mvutano na vita.
Katika ufuatiliaji zaidi, taarifa zinaonyesha kuwa kamanda wa kikosi cha IRGC kwa sasa ni Ahmad Vahidi, ambaye aliteuliwa kufuatia mashambulizi yaliyowalenga baadhi ya viongozi wa juu wa kijeshi wakati wa vita vinavyoendelea.
Katika mahojiano maalum Salar Velayatmadar aliyofanya na moja ya vyombo vya habari nchini Iran kuhusu mwenendo wa vita dhidi ya Marekani, mbunge huyo alikaririwa akisema:
“Baba na mama, kama mwana au binti yenu hawasikilizi, si kosa letu. Yeyote aliye katika ardhi ya Iran leo atakayetoa sauti au wimbo unaolingana na adui, miguu yake itakuwa Tel Aviv na kichwa chake kitakuwa Netanyahu. Amri ya kumpiga risasi imetolewa.
Nawaambia hili kwa sababu hakuna aliyewahi kuwaambia: hatutaki mtoto wenu auawe kwa sababu ya ujinga au kutokuelewa kwake.”
Hata hivyo, hadi sasa hakuna taarifa rasmi kutoka vyombo vikubwa vya habari nchini Iran iliyothibitisha kauli inayodai kuwa raia yeyote anayehusishwa na Israel atapigwa risasi.

- Tunachokijua
- Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel