Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill

Baada ya hapo wataanza kuwalipua.

IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia ya Amerika katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco, ikizituhumu kuwa watetezi katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.

=======

Iran has called on all employees of Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco to leave the companies by 8pm Tehran time on Wednesday - The HillAfter that they are going to start blowing them up.The IRGC has threatened America’s top big tech companies in the region, including Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco, accusing them of being abbettors in the American and Israeli aggression against the country.

Screenshot 2026-04-01 at 11-29-03 (1) Megatron on X BREAKING 🇺🇸🇮🇷 Iran has called on all emplo...png

​
 
Wanaukumbi.

🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill

Baada ya hapo wataanza kuwalipua.

IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia ya Amerika katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco, ikizituhumu kuwa watetezi katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.

View: https://x.com/megatron_ron/status/2039043658956013888?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Waondoke wakiwa ndani ya marekani, au nje? Maana hizo kampuni zina matawi ulimwenguni kote, na hawawezi eti kuchimba biti waondoke

Waje na strategy zingine
 
Iran nao wanatuangusha sana. Mbona israel na marekani waliposhambulia shule hawakutoa tahadhari ya wanafunzi waondoke?
Vita ni vita tu.
Iran ilitakiwa kujibu hata kwa kiwango kidogo kulipiza kisasi. Wakipiga chuo kikuu nao wanapiga vyuo. Wakipiga refinary na wao wanapiga vilevile hata kama kwa udogo.
Iran kwa sasa karata yake ni ule mlango bahari. Zaidi ya hapo ni kelele tu.
 
Hahahahah Yahudi mweusi anajifariji mabwana zako wanaomba msaada Ulaya waingie kuwasaidia wapigane na Iran wewe upo Njombe unasema Iran ni kelele🤣

View: https://x.com/asifali_haider/status/2039077106819190894?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanaukumbi.

🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill

Baada ya hapo wataanza kuwalipua.

IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia ya Amerika katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco, ikizituhumu kuwa watetezi katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.

=======

Iran has called on all employees of Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco to leave the companies by 8pm Tehran time on Wednesday - The HillAfter that they are going to start blowing them up.The IRGC has threatened America’s top big tech companies in the region, including Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco, accusing them of being abbettors in the American and Israeli aggression against the country.

Allah naye ataambiwa aondoke Kaaba. Chezea Iran wewee.
 
Too late, hao ndio wanaowachoma kwa mazayuni. Iran angekuwa na "consumer products" zake kama North Korea. Angepiga ban kitambo sana hizo products.
Hao ni mawakala wa Marekani na waanzilishi na wamiliki wengi ni Jews.
Irani sio wa kushindwa kuwa na softwares zake akazitumia.
Wanajisahau sana wairani.
 
Wanaukumbi.

🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill

Baada ya hapo wataanza kuwalipua.

IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia ya Amerika katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco, ikizituhumu kuwa watetezi katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.

=======

Iran has called on all employees of Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco to leave the companies by 8pm Tehran time on Wednesday - The HillAfter that they are going to start blowing them up.The IRGC has threatened America’s top big tech companies in the region, including Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco, accusing them of being abbettors in the American and Israeli aggression against the country.

Attachments

  • 20260401_130820.jpg
    20260401_130820.jpg
    109.4 KB · Views: 24
Waondoke wakiwa ndani ya marekani, au nje? Maana hizo kampuni zina matawi ulimwenguni kote, na hawawezi eti kuchimba biti waondoke

Waje na strategy zingine
Kwani wewe dogo una umri gani sababu hizo Company zote zilo huko Middle East haswa pale Gulf states na israel kwani USA anapigania vita tokea USA au yuko hapo Middle East.
 
Ndio maana nimesema zona matawi dunia nzima, na makao makuu ya hizo kampuni ni US,

So wafanyakazi anao wazungumzia ni waliopo ndani ya us au nje ya us
 
Back
Top Bottom