Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Kumekucha.Habari kama hizi ndio napenda kuzisikia.
Sa we tatizo huelewi wakati wakiongeaNdio maana nimesema zona matawi dunia nzima, na makao makuu ya hizo kampuni ni US,
So wafanyakazi anao wazungumzia ni waliopo ndani ya us au nje ya us
Report ndefuuu tena kwa kiingereza ili tu kuipa umhimu ionekane ni ya kweli na Iran anashinda vita kumbe UHARO mtupu!!Operations announced by Iran’s IRGC:
• 2 early-warning radar systems used by the US on a maritime structure in the waters and islands of the UAE were destroyed.
• An Israeli-affiliated oil tanker under the commercial name “Aqua One,” was hit & currently burning.
• A secret and hidden gathering place of US army troops outside the area of the 5th Fleet in Bahrain was struck by a large number of one-way attack drones and several ballistic missiles.
According to field reports, a large number of senior officers of the naval unit were transferred to hospitals in Manama after the attack.
• US Chinook helicopter preparation center and the equipment storage hangars at Al-Adiri US base were hit with a combination of ballistic missiles and drones.
• Early this morning, several squadrons of one-way attack drones were fired towards the USS Abraham Lincoln aircraft carrier in the northern Indian Ocean. According to satellite data, they retreated into the depths of the Indian Ocean.
• According to precise intelligence reports, yesterday's attack by the IRGC-Navy on the secret gathering place of American officers in the UAE, 37 people have been definitively killed and many others injured and transferred to hospitals.
Hii ilikuwa EPIC 🔥
🇺🇸Trump: Tunahitaji dola bilioni 2 kwa siku ili kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz
🇺🇸Seneta wa Marekani: Lakini SOH ilikuwa tayari imefunguliwa kabla ya vita? Kwa hivyo ni nini maana ya vita vyote?
Umetengeneza Mgogoro wa Ulimwengu NJE YA CHOCHOTE" 🔥🔥
View: https://x.com/_infogram_/status/2038675818411676087?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Report ndefuuu tena kwa kiingereza ili tu kuipa umhimu ionekane ni ya kweli na Iran anashinda vita kumbe UHARO mtupu!!
Utashangaa kuja kusikia mwishoni kuwa Iran kaingia kwenye mfumo hapo ndipo utakuja kushangaa hizo report zilikuwa za kujifariji tu wala hazina ukweli wowote ni kuzuga tu watu kuficha kipondo anachopata Iran.
Yale yale ya Gaza Hamas,Hezbollah na Houth walivyokuwa wanapambwa utafikiri leoleo wanashinda vita!! Mwisho wake ulikuwa kinyume kabisa!! Hamas walipoteza maeneo na viongozi wao kuuliwa.
Hezbollah nao walitenguliwa kiuno na Operation Beeper na viongozi wao karibu wote kuuliwa akiwemo Hassan Nasrallah. Na leo hii tena wamepoteza Lebanon-kusini tayari imeshakuwa Buffer-zone!!
Houth nao walikipata karibu baraza lao lote la Mawaziri 14 waliuliwa na sasa wanachechemea tu hawana impact yoyote kwa IDF. Wanarusha vikombola vyao vinapopolewa tu!!
Mkiambiwa muwe mnaelewa Israel ni kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko Iran.
🇮🇷 "Upitishaji wa kudumu wa meli za Israel kwenye mlango wa bahari utapigwa marufuku, kwa historia yote, chini ya usimamizi wetu."
Mwakilishi wa Irani anathibitisha maafikiano kamili katika ngazi zote za serikali, kijeshi, na mfumo wa juu: Mlango wa bahari wa Hormuz hautarejea katika hali yake ya kabla ya vita.
Sheria inayokamilishwa ni pamoja na:
▪️ Ushuru wa usafiri na uongozaji kwenye vyombo vyote
▪️ Tozo za uchafuzi wa mazingira
▪️ Jina la lazima la "Ghuba ya Uajemi" kwa meli zinazopita
▪️ Marufuku ya kudumu ya usafirishaji wa Israeli
Taarifa kamili zitatolewa baada ya kuidhinishwa na bunge.
View: https://x.com/gbx_press/status/2039322306363974136?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ulivyo mjinga hata hujui wenzako walishapanga muda mrefu sana kuanzisha mradi wa kimkakati wa Bomba la mafuta kutoka nchi za Ghuba kupitia Saudia mpaka Bahari ya Mediterranean hilo hulijui.
Njia mbadala imepangwa utekelezaji utaanza mara moja na bila kuchelewa.
Ukishakuwa kobazi,basi jua kichwani ndiyo hivyo tenaWanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill
Baada ya hapo wataanza kuwalipua.
IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia ya Amerika katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco, ikizituhumu kuwa watetezi katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.
=======
Iran has called on all employees of Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco to leave the companies by 8pm Tehran time on Wednesday - The HillAfter that they are going to start blowing them up.The IRGC has threatened America’s top big tech companies in the region, including Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco, accusing them of being abbettors in the American and Israeli aggression against the country.
Kwani kobazi huwa akili zenu zipoje? So unatarajia Iran kushinda Vita Marekani + Israel dhidi yake? Huu ni ujinga wa hali juu kabisaNdugu umemsikia huyo mkanisa mla nguruwe anasema nini watu wa kibosho ndio walivyo lazima wataichukia Iran sababu anawachakazia taifa teule lao.
Iran safi sana piga hao kondoo walio potea na wala nguruwe.
Wewe kenge hilo bomba lilitengenezwa wakati wa vita vya Iraq na Iran afu halina capacity ya zaidi ya Million 7 kwa siku wakati Saud Arabia pekee yake ana export 10 Millions BP.Ulivyo mjinga hata hujui wenzako walishapanga muda mrefu sana kuanzisha mradi wa kimkakati wa Bomba la mafuta kutoka nchi za Ghuba kupitia Saudia mpaka Bahari ya Mediterranean hilo hulijui.
Njia mbadala imepangwa utekelezaji utaanza mara moja na bila kuchelewa.
Angalia hiyo ramani Houth anahusikaje hapo mjinga wewe?Wewe kenge hilo bomba lilitengenezwa wakati wa vita vya Iraq na Iran afu halina capacity ya zaidi ya Million 7 kwa siku wakati Saud Arabia pekee yake ana export 10 Millions BP.
Usisahau Al Houthi akifunga Bab Al Mandam watapita wapi.
Uwe unatumia akili sometimes
Hahaha kwani Saud Arabia mafuta yake anamuzia nani America na Poland tu kweli we ni fala sanaAngalia hiyo ramani Houth anahusikaje hapo mjinga wewe?
Wapigwe tu, tumechoka!Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill
Baada ya hapo wataanza kuwalipua.
IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia ya Amerika katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco, ikizituhumu kuwa watetezi katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.
=======
Iran has called on all employees of Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco to leave the companies by 8pm Tehran time on Wednesday - The HillAfter that they are going to start blowing them up.The IRGC has threatened America’s top big tech companies in the region, including Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco, accusing them of being abbettors in the American and Israeli aggression against the country.