Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

IRGC ilisema "Trump ni kibaraka mikononi mwa Waziri Mkuu wa Israel na yuko chini ya shinikizo kutoka kwa Mossad kutokana na historia yake katika kesi ya Epstein."
 
🚨🇺🇸🇮🇷🇨🇳 Trump says China gets 90% of its oil through the Strait of Hormuz and "they should be policing it. We're getting ready to get out."

He keeps saying this, and every time he does it confirms the entire thesis.

The war was never about nukes or terrorism.

It was about who controls the most important energy chokepoint on earth and who gets stuck paying to keep it open.

Source: NTD
 
🚨🇺🇸🇮🇷 Trump: "Iwapo makubaliano hayatafikiwa, tutaathiri sana kila kituo chao cha kuzalisha umeme, ikiwezekana kwa wakati mmoja"

Hiyo ni kama mara ya 10 yeye kutishia hii 🤣
 
🇺🇸🇮🇷 Trump hataki tena "Kuokoa" Wairani, sasa anasema watawarudisha kwenye Enzi ya Mawe kwa kugonga miundombinu ya kiraia:

"Tutawarudisha kwenye zama za mawe, ambako ni zao. Kumbuka kwamba uhalali wa awali wa vita ulikuwa "kusaidia" Wairani."


View: https://x.com/megatron_ron/status/2039631144707088749?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Aisay hakuna hata alicho ongea kimemsaidia zaidi ya kuzidi kuonekana kachanganyikiwa. China leo kasema hawawezi kukubali kuendelea kusubiri ujinga wa Trump kanzisha vita ambayo imeleta matatizo kwenye nchi nyingi duniani hapa ba nusa nusa harufu karibu China atakinukisha
 
🚨🇮🇷🇮🇱 Iran inarusha makombora ya balestiki ya kudumu katikati mwa Israel hivi sasa.

Athari nyingi zimeripotiwa huko Holon, jiji la watu 200,000 kusini mwa Tel Aviv.

Haya yanajiri huku Trump akisema makubaliano ya kusitisha mapigano yamekaribia. FM ya Iran ilisema hakuna msingi wa mazungumzo.

Hivi ndivyo karibu inaonekana hivi sasa.


View: https://x.com/marionawfal/status/2039355026574078287?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🚨🇺🇸🇮🇷 Trump: "Iwapo makubaliano hayatafikiwa, tutaathiri sana kila kituo chao cha kuzalisha umeme, ikiwezekana kwa wakati mmoja"

Hiyo ni kama mara ya 10 yeye kutishia hii 🤣
Anadhani Iran wanaogopa anawatisha Iran lakini waisrael ndio wanaharisha sababu wanajua ukiharibu miundombinu
kule Iran na wao inakula kwao
 
Aisay hakuna hata alicho ongea kimemsaidia zaidi ya kuzidi kuonekana kachanganyikiwa. China leo kasema hawawezi kukubali kuendelea kusubiri ujinga wa Trump kanzisha vita ambayo imeleta matatizo kwenye nchi nyingi duniani hapa ba nusa nusa harufu karibu China atakinukisha
Kuna mgalatia mmoja kaanzisha uzi eti analalamika Iran kashambulia makampuni ya Marekani lakini yupo kimya Marekani kushambulia
Miundombinu ya Iran.

Kazi imeenza.


View: https://x.com/marionawfal/status/2039351374006390839?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Anadhani Iran wanaogopa anawatisha Iran lakini waisrael ndio wanaharisha sababu wanajua ukiharibu miundombinu
kule Iran na wao inakula kwao
Iran jana wamesema wameishafanya maamuzi ya bunge wameteuwa kamati ya kukusanya tozo wamewafahamisha wenzao wa Oman.

Maana Strait of Hormuz wanashirikiana na Oman, wao Iran watakuwa wanachaji dola
Milioni 2 lakini lazima uchenji wa pesa za Iran ndiyo ulipe tozo meli yako ipite lakini marufuku meli za Israel na Marekani.

Pesa itakayapatikana itaijenga upya Iran.
 
Iran wamesema wazi wao siyo wazuri sana kwenye vita angani wao wao ni wanyama kwenye vita vya chini.
 
🇮🇱 Makombora ya Hezbollah yanaonekana kugonga McDonald's kaskazini mwa Israel.

Ndani imeharibiwa kabisa.

Siku mbaya sana

Hawa si uwa wanajifanya kugawa pizza za bure kwa wanajeshi wa Marekani.


View: https://x.com/marionawfal/status/2039637240947806475?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Unajua hi vita wa Israel wengi wameanza kuiba wanaingia kwenye Mall's au Restaurant's hawatoki mpaa wakisikia Air raid sirens wanakimbia na vitu walivyo chukua au kula bila kulipa hahaha
 
Back
Top Bottom