Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

Trump analaumu Iran kwa kupanda kwa bei ya mafuta nchini Marekani. Iran sio nchi inayoshambulia maeneo ya mafuta. Iran sio inayotishia meli za mafuta. Iran si ndiyo inaweka vikwazo vinavyosonga usambazaji. Marekani ni. Trump alianzisha vita. Trump aliimarisha vikwazo dhidi ya Cuba. Trump anatishia Mlango-Bahari wa Hormuz. Marekani ilisababisha mlipuko huo. Marekani ndio wa kulaumiwa.

Iran inajilinda yenyewe. Iran inajibu mashambulizi ya miongo kadhaa ya Marekani. Bei ya mafuta ni gharama ya ufalme. Gharama ya kuanzisha vita. gharama ya pointi kutishia hulisonga. Gharama ya vikwazo vinavyorudisha nyuma. Marekani huvuna inachopanda.

Trump anataka uilaumu Iran. Lawama upinzani. Lawama yoyote isipokuwa himaya. Ufalme ulianza vita hivi. Dola inapoteza vita hivi. Himaya inalipia kwenye pampu. Hilo si kosa la Iran. Hilo ni kosa la Marekani.

Marekani ilisababisha mlipuko huo. Marekani ndio wa kulaumiwa. Marekani inaweza kumaliza vita kesho. Bei zitashuka. Vikwazo vitaondolewa. Mlango wa Bahari utafunguka. Lakini ufalme huo ungeilaumu Iran kuliko kukubali kuwa haikuwa sahihi. Wananchi wanalipa gharama. Ufalme hauchukui jukumu.
 
Trump amekubali rasmi kuwa ego yake IMEHARIBIKA 🔥

Bila aibu anatoa maoni ya kibinafsi kuhusu Mfaransa 🇫🇷 Rais Emmanuel Macron kwa sababu hakusaidia dhidi ya Iran 😭

"Mke wa Macron anamtendea vibaya. Nilimuomba msaada huko mashariki ya kati lakini alikataa kutuma meli"

Je, unadhani mshirika yeyote atakuwa tayari kusimama naye baada ya kusikia mambo kama hayo?


View: https://x.com/amockx2022/status/2039480725729415208?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Dahh
Ndugu umemsikia huyo mkanisa mla nguruwe anasema nini watu wa kibosho ndio walivyo lazima wataichukia Iran sababu anawachakazia taifa teule lao.

Iran safi sana piga hao kondoo walio potea na wala nguruwe.
Dahh 🤣
 
Waondoke wakiwa ndani ya marekani, au nje? Maana hizo kampuni zina matawi ulimwenguni kote, na hawawezi eti kuchimba biti waondoke

Waje na strategy zingine
Ndio tayari sasa, zimeanza kichezea kichapo.
 
Ndio tayari sasa, zimeanza kichezea kichapo.
Wapi ? Nje aud ndani? Maana nguvu ya hizo trch giants ziko ndani ya marekani sio nje

Kama iran wanataka kuwaumiza kweli wapige ndani ya marekani
 
Sababu unauliza vitu ambavyo ni obvious vita yote inapigwana middle east, hizo kampuni zina branch middle east ambazo directly zinasaidia USA na Israel, of course Wana target hapo Middle East. Tayari Amazon Jana imepigwa, wengine watafuatia.
Is not obvious , the key power ya hizi kampuni ni ndani ya marekani, if they can wataiumiza marekani sana .
 
Is not obvious , the key power ya hizi kampuni ni ndani ya marekani, if they can wataiumiza marekani sana .
It's not about company power, it's about wao kuhusika kushambulia Iran, akipiga Data centre zao za Middle East hawawezi kutumia data centre za Magharibi kushambulia as latency ni kubwa.
 
Kwahio wamaeona hawawezi kupambana na jeshi la wapinzani, kitu kilichobaki ni kushambulia makampuni binafsi ?😂 Kweli Iran wamechoka na kuishiwa mbinu kiasi hiki ?.

Ni sawa na Tanzania tuingie vitani na Afrika Kusini tuanze kulipua viwanda vya Kenya kama blueband, mafuta ya vaselin, viwanda vye nepi, n.k. kwasababu vina uhusiana na Afrika Kusini

Wameshindwa kabisa kudungua hata ndege moja ya f35 kuwe na ushahidi usio na shaka ndege idondokee Iran na wamkamate Rubani ?
Marekani aliposhambulia kiwanda cha dawa za saratani Tehran na yeye aliishiwa mbinu!??
Muda mwingine jamaa ni kama unaongeaga us*nge hivi.
Unajua ni viwanda vingapi na makampuni mangapi na benki ngapi USA na Israel wamelipua ndani ya Iran!??
Kwahiyo akifanya USA hajaishiwa mbinu ila akifanya Iran ameishiwa mbinu!?
 
Trump. kavurungwa anavunja madaraja🤣
 
😂😂😂

🚨🇺🇸BREAKING: Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth leo amewafuta kazi majenerali zaidi ya 12 akiwemo kamanda wa jeshi la nchi kavu la Marekani.
 
Back
Top Bottom