Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
- Thread starter
- #101
Tuliambiwa na Trump Iran hawana tena jeshi la majini.
🇮🇷 IRGC inasema walishambulia meli ya mafuta ya Aqua One katika Ghuba.
Meli hiyo, iliyokodishwa kwa QatarEnergy, iligongwa mapema asubuhi ya leo katika eneo la bahari la Qatar.
View: https://x.com/marionawfal/status/2039332569439969438?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw