Waondoke wakiwa ndani ya marekani, au nje? Maana hizo kampuni zina matawi ulimwenguni kote, na hawawezi eti kuchimba biti waondokeWanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill
Baada ya hapo wataanza kuwalipua.
IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia ya Amerika katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco, ikizituhumu kuwa watetezi katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.
View: https://x.com/megatron_ron/status/2039043658956013888?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sema nawe haujui 😅😅😅Ungekuwa unafuatilia vita hivi usingeuliza hili swali.
Swali hujaelewa unaanza kujibu taarabu? Hizo kampuni zina matawi duniani kote. So anaongelea ndani ya america or nje ya america?Unaongea kutoka wapi Uyole?
Hahahahah Yahudi mweusi anajifariji mabwana zako wanaomba msaada Ulaya waingie kuwasaidia wapigane na Iran wewe upo Njombe unasema Iran ni kelele🤣Iran nao wanatuangusha sana. Mbona israel na marekani waliposhambulia shule hawakutoa tahadhari ya wanafunzi waondoke?
Vita ni vita tu.
Iran ilitakiwa kujibu hata kwa kiwango kidogo kulipiza kisasi. Wakipiga chuo kikuu nao wanapiga vyuo. Wakipiga refinary na wao wanapiga vilevile hata kama kwa udogo.
Iran kwa sasa karata yake ni ule mlango bahari. Zaidi ya hapo ni kelele tu.
Ukiona unamuuliza mtu swali halafu anakuwa mkali ujue hana majibu.Ungekuwa unafuatilia vita hivi usingeuliza hili swali.
Allah naye ataambiwa aondoke Kaaba. Chezea Iran wewee.Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill
Baada ya hapo wataanza kuwalipua.
IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia ya Amerika katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco, ikizituhumu kuwa watetezi katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.
=======
Iran has called on all employees of Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco to leave the companies by 8pm Tehran time on Wednesday - The HillAfter that they are going to start blowing them up.The IRGC has threatened America’s top big tech companies in the region, including Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco, accusing them of being abbettors in the American and Israeli aggression against the country.
Wanaukumbi.

Kwani wewe dogo una umri gani sababu hizo Company zote zilo huko Middle East haswa pale Gulf states na israel kwani USA anapigania vita tokea USA au yuko hapo Middle East.Waondoke wakiwa ndani ya marekani, au nje? Maana hizo kampuni zina matawi ulimwenguni kote, na hawawezi eti kuchimba biti waondoke
Waje na strategy zingine
Ndugu umemsikia huyo mkanisa mla nguruwe anasema nini watu wa kibosho ndio walivyo lazima wataichukia Iran sababu anawachakazia taifa teule lao.Hahahahah Yahudi mweusi anajifariji mabwana zako wanaomba msaada Ulaya waingie kuwasaidia wapigane na Iran wewe upo Njombe unasema Iran ni kelele🤣
View: https://x.com/asifali_haider/status/2039077106819190894?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ndio maana nimesema zona matawi dunia nzima, na makao makuu ya hizo kampuni ni US,Kwani wewe dogo una umri gani sababu hizo Company zote zilo huko Middle East haswa pale Gulf states na israel kwani USA anapigania vita tokea USA au yuko hapo Middle East.
Tafadhali hebu acha kumdhalilisha my wetu, nakuonya mara nyingine tenaNdugu umemsikia huyo mkanisa mla nguruwe anasema nini watu wa kibosho ndio walivyo lazima wataichukia Iran sababu anawachakazia taifa teule lao.
Iran safi sana piga hso kondoo walio potea na wala nguruwe.