field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,061
- 4,686
Hamas nao wamo, juzi wameteketeza vifaru vitano vya hao wazayuni....Merkava 5 zimeenda na maji.Kumbe Hezbullah bado ipo dogo hahaha kwa hio Hamas imeisha malizwa sio hahaha mimi nakuambia Hamas wako strong na subiri time itaongea