Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

Kumbe Hezbullah bado ipo dogo hahaha kwa hio Hamas imeisha malizwa sio hahaha mimi nakuambia Hamas wako strong na subiri time itaongea
Wanaume wakiwa kazini kuwafyekelea mbali magaidi wa Hezboullah

Hilo hilo jengo walikuwemo zaidi ya 70 wote wameangamizwa ** Yajayo yanafurahisha**
 

Attachments

  • VID_20260403_135645_581.mp4
    5.4 MB
  • IMG_20260403_135645_576.jpg
    49 KB · Views: 15
  • IMG_20260403_135644_989.jpg
    371 KB · Views: 16
  • IMG_20260403_135645_150.jpg
    356.5 KB · Views: 15
  • IMG_20260403_135644_945.jpg
    236.4 KB · Views: 13
  • IMG_20260403_135645_120.jpg
    22.6 KB · Views: 12
  • IMG_20260403_135645_033.jpg
    252.3 KB · Views: 18
  • IMG_20260403_135645_500.jpg
    311.2 KB · Views: 17
Angalau wanawaambia, hao upande mwingine wanaua hadi watoto wa shule, wamevunja shule, hospitali, madaraja na vituo vya umeme, wanataka wawafikishe kwenye stone ages(Sic). Rais wetu hata English lugha yake inamshinda.
Kwani Oct 07,2023 magaidi wenyewe walikuwa wanaua panzi? Waliua mpaka watoto na ulivyo mjinga hilo hukuliona kabisa!!
 
Wanaume wakiwa kazini kuwafyekelea mbali magaidi wa Hezboullah

Hilo hilo jengo walikuwemo zaidi ya 70 wote wameangamizwa ** Yajayo yanafurahisha**
Mmeisha muokoa pilot wenu huko Iran au bado tunasubiri kuzitandika hizo Helicopter mbili na hio ndege inayo tafuta signal kutoka kwa pilot ambaye haonekani bado


View: https://youtube.com/shorts/X-BvW_G9hGg?si=Mz38pxd0dTijXWYb
Huko Lebanon mnamalizwa hizo picture una dai askari sijui 10 hakuna lolote kuna video wametoa Israel ni wawili na haijulikani walikuwa ndani ya nyumba au walipenya vichochoroni nyie mnapiga. Majumba hi hapa video kwa dalili wametoa wenyewe Israel.



View: https://youtube.com/shorts/ekKHodyYmUw?si=-97x-GxoYZdC4Tf_
Hezbullah hao wako kazini anawapelekea moto mnaficha tu mmeuliwa wangapi.


View: https://youtube.com/shorts/Y1oyjv5D5HU?si=4s_502MsZTP6Bfrh
 
Wewe ulituaminisha kuwa hao Marubani wamekimbia na bado mna wafu kuuza mtuambie sasa Kama mmewakamata au wana mbio kuliko ninyi wamewaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…