Kwa kutumia akili ya kawaida, wewe unadhani anaongelea wafanyakazi walioko wapi?Swali hujaelewa unaanza kujibu taarabu? Hizo kampuni zina matawi duniani kote. So anaongelea ndani ya america or nje ya america?
Yaani nauliza swali badala ya kupata majibu naulizwa maswali ? Come on guys?Kwa kutumia akili ya kawaida, wewe unadhani anaongelea wafanyakazi walioko wapi?
Iran nao wana ujinga mwingi mno,kwa Nini wanawabiaga mapema,mbona maadui zao hua wanalipua TU hivyohivyo na kuua wataalamu wote waloimo ndani?Show unaanza rasmi
Ndugu ni kwa matawi yote yaliyopo middle east.Swali hujaelewa unaanza kujibu taarabu? Hizo kampuni zina matawi duniani kote. So anaongelea ndani ya america or nje ya america?
Hata Mimi Hali hii inanikera sanaIran nao wanatuangusha sana. Mbona israel na marekani waliposhambulia shule hawakutoa tahadhari ya wanafunzi waondoke?
Vita ni vita tu.
Iran ilitakiwa kujibu hata kwa kiwango kidogo kulipiza kisasi. Wakipiga chuo kikuu nao wanapiga vyuo. Wakipiga refinary na wao wanapiga vilevile hata kama kwa udogo.
Iran kwa sasa karata yake ni ule mlango bahari. Zaidi ya hapo ni kelele tu.
Hiyo sio yahudi,Bali anaona Iran imekua na ustaarabu mwingi isio na faida sanaHahahahah Yahudi mweusi anajifariji mabwana zako wanaomba msaada Ulaya waingie kuwasaidia wapigane na Iran wewe upo Njombe unasema Iran ni kelele🤣
View: https://x.com/asifali_haider/status/2039077106819190894?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Jamani na sisi Wakristu tunaoiunga mkono Iran dhidi ya mabeberu mbona mnatutukana?Ndugu umemsikia huyo mkanisa mla nguruwe anasema nini watu wa kibosho ndio walivyo lazima wataichukia Iran sababu anawachakazia taifa teule lao.
Iran safi sana piga hso kondoo walio potea na wala nguruwe.
Jipe muda uwe unaangalia habari za vita vinavyoendelea Mashariki ya Kati.Swali hujaelewa unaanza kujibu taarabu? Hizo kampuni zina matawi duniani kote. So anaongelea ndani ya america or nje ya america?
Of course toka mwanzo Iran alishasema makampuni hayo yote yaliyopo Middle EastYaani nauliza swali badala ya kupata majibu naulizwa maswali ? Come on guys?
Why kuzunguka mbuyu?
Hiyo sio yahudi,Bali anaona Iran imekua na ustaarabu mwingi isio na faida sana
Wao west wanapiga TU bila kuwaambia watu waondoke lkn Iran yeye anawaambia waondoke.
Hakuna kumuonea huruma adui,maana vita hii ni kumalizana nguvu kijeshi ,kiuchumi na kisiasa.
Kisiasa ndio hiyo kuua Viongozi na wataalamu wa kisayansi na kiteknolojia.
Hapana nafikiri Kuna wakati mtu anapitwa na baadhi ya matukio kutokana na sababu mbalimbali za kibinadamu.Jipe muda uwe unaangalia habari za vita vinavyoendelea Mashariki ya Kati.
Sijui hata kama unafahamu kwa nini Iran anazishambulia Qatar, Saudia Arabia, Kuwait,
Wanaofuatilia vita hivi wanaelewa🤣
Una uelewa mdogo sana wa hizi mambo , ni vizuri ukajipa muda wa kutosha kwa ajili ya kujifunza.Kwahio wamaeona hawawezi kupambana na jeshi la wapinzani, kitu kilichobaki ni kushambulia makampuni binafsi ?😂 Kweli Iran wamechoka na kuishiwa mbinu kiasi hiki ?.
Ni sawa na Tanzania tuingie vitani na Afrika Kusini tuanze kulipua viwanda vya Kenya kama blueband, mafuta ya vaselin, viwanda vye nepi, n.k. kwasababu vina uhusiana na Afrika Kusini
Wameshindwa kabisa kudungua hata ndege moja ya f35 kuwe na ushahidi usio na shaka ndege idondokee Iran na wamkamate Rubani ?
Samahani mheshimiwa najua wako wakristo wako tofouti na akina Echolima1Jamani na sisi Wakristu tunaoiunga mkono Iran dhidi ya mabeberu mbona mnatutukana?
Kumbuka hata Iran kwenyewe Kuna Wakristu wnapigana bega kwa bega na Waislam kujilinda nchi Yao.
Habari kama hizi ndio napenda kuzisikia.Operations announced by Iran’s IRGC:
• 2 early-warning radar systems used by the US on a maritime structure in the waters and islands of the UAE were destroyed.
• An Israeli-affiliated oil tanker under the commercial name “Aqua One,” was hit & currently burning.
• A secret and hidden gathering place of US army troops outside the area of the 5th Fleet in Bahrain was struck by a large number of one-way attack drones and several ballistic missiles.
According to field reports, a large number of senior officers of the naval unit were transferred to hospitals in Manama after the attack.
• US Chinook helicopter preparation center and the equipment storage hangars at Al-Adiri US base were hit with a combination of ballistic missiles and drones.
• Early this morning, several squadrons of one-way attack drones were fired towards the USS Abraham Lincoln aircraft carrier in the northern Indian Ocean. According to satellite data, they retreated into the depths of the Indian Ocean.
• According to precise intelligence reports, yesterday's attack by the IRGC-Navy on the secret gathering place of American officers in the UAE, 37 people have been definitively killed and many others injured and transferred to hospitals.
SawaSamahani mheshimiwa najua wako wakristo wako tofouti na akina Echolima1