britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
fafanua hapo kwenye suala la uchaguzi maana trump mwenyewe anatumia tukio lile kama mtaji wa kisiasa leo Bloomberg TV walikuwa kila wakisoma updates za ile habari lazima waseme ‘shambulizi limetekelezwa kwa maagizo ya rais donald trump’Iran usifikiri wataacha hii kitu ipite kimya.
Trump atajuta na itakuwa sababu ya Trump kushindwa uchaguzi.
Nambie Muisrael!!Safari hii hajaitaja Israel? Kwenye statement zao za kiboya neno Israel halikosekani. Kweli counter attack ya leo wamepoteana. Vipi washamswalia jenerali?
Nikajua wamarekani watakimbia marekaniDogo hivi we umemsikia nani anayeongea hayo? Ni waziri wa mambo ya nje huyo ni mwanasiasa lazima aongee vile. We tuliza ball wakuu wamajeshi wa Iran wanasema lazima USA watakimbia tu hapo Iraq mbona unaharaka kama mtu anayetaka kuharisha.
Hahaha hawa wa Iran wa Magomeni wamachekesha sana
Amini nakuambia siasa za us uzijui.Iran usifikiri wataacha hii kitu ipite kimya.
Trump atajuta na itakuwa sababu ya Trump kushindwa uchaguzi.
Iran usifikiri wataacha hii kitu ipite kimya.
Trump atajuta na itakuwa sababu ya Trump kushindwa uchaguzi.
Iran walishajitangazia laana ya milele wenyewe kwa kuikataa Israel.
Mpaka mimea wanaadhibu Mjapani walimfanyaga kitu ambacho hakikuwa kizuri dunianiWewee ogopa kichapo cha hawa jamaa!wanapiga hadi paka, mende, kuku, jogoo, mijusi, mbwa! Kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi wale watoto waliokuwa wanatoka North Carolina katika kikosi Cha special force kiitwacho Frog Bragg uliwaona lakini wameenda wamemuua kizembe sana Qaseem Suleyman. Ameuliwa na vijana wa umri wa miaka 25 kushuka chini ni aibu Sana kwa utawala wa akina Ayatollah khamenei. Na kile kikosi na wadada walikuwepo. Aliyekutangulia muheshimu usipambane nae. Na wale watoto ingetokea wakamdaka Ayatollah khamenei na kuondoka nae wairan wangelia Sana, wangeenda kila kona kuomba msaadaDogo hivi we umemsikia nani anayeongea hayo? Ni waziri wa mambo ya nje huyo ni mwanasiasa lazima aongee vile. We tuliza ball wakuu wamajeshi wa Iran wanasema lazima USA watakimbia tu hapo Iraq mbona unaharaka kama mtu anayetaka kuharisha.
Unapambana na USA uku unatumia Twitter, Facebook, Google, iPhone, window, Visa, Master card, Symbian, Instagram, Android, Wikipedia, internet na wakati izo zote ni silaha kwa USA anaweza akaanza kutrace account zote kukutafuta