Kwan Huyo Jenerali Aliondoshwa Akiwa Wapi akiwa IRAN Ama Akiwa Wapi ?!
Unahisi Huyo Jenerali Kuuliwa Akiwa IRAQ Nijambo Lakushangaza ?!
Inatakiwa Ujiulize Licha Ya US Kuwepo IRAQ Kwa Miaka Kadhaa Huyo Jenerali Kaingiaje IRAQ Na Akafanya Mishen Walosema Imepelekea Fujo Katika Ubaloz Wao US Walikua wapi ?!
Hili Tukio Kama Lingalitokea Ndani Ya IRAN Kwenyewe Hata Mimi Ningetilia Walakini Kwa Kiongozi Aina Ya Soleiman Kuuawa Ila Kwahuko Lilipotokea Sishangai Ijapokua Silifurahii........
IRAN Hajawahi Na Wala Hana Mpango Wakuanzisha Vita Na Taifa Lolote Lile DUNIANI Sio US Tu Hata SAUDIA Hana Mpango Wakuingia Nayo Vitani
IRAN Anachofanya Nikutetea Maslahi Yake Ambayo Nihaki Yakika Taifa
US Ikitokea Akapigana Na IRAN Hakuna Shaka IRAN Anaondoka Na Anaesema Kama IRAN Atashinda Hio Vita Huenda Ikawa Anakosea Sana
Ila Siku Ukiona Ama Kusikia Kama IRAN na US Wameingia Kwa DIRECT War Basi Elewa US Atapoteza Udhibiti Wa Eneo Lamashariki Yakati Lote Na Hilo Eneo Litakua Halikaliki Wala Halipikiki
Na US Ikitokea Kapigana Na IRAN Itakua Vita Kubwa Kuwahi Kutokea Ambayo US Kakumbana Nayo
Kama Unahisi US Anahuo Uwezo Ambao Mnampa Kiasi Chakuibeza IRAN Tusiombe Vita Ila Tunajua Ipo Day Vitatokea Tu Na Tutaona Ama Tutasikia Hatakama Tutakua 2shakufa
US Akiingia Vitani Na IRAN Nolonger Super Power
IRAN Usiifananishe Na IRAQ Ambayo Hao Hao Walompa Misaada Ya Kisilaha Ndio Walikuja Wakamgeuka...
Sent using
Jamii Forums mobile app