balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Ongeza na misosi,maji,nchi washirika nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Mkuuu. USA ni giant eagle. Hakuna taifa lolote dunia linaloweza pambana nae meja jeneral Qassem Soleiman ameuwawa na watoto teenagers chini ya miaka 25 Ndio waliompelekea Moto akafa watoto wametoka North Carolina katika kikosi Cha special forces Cha Frog Bragg apo bado wale vijana waliopo kule kwy kambi za Alaska kwy Barafu hawajatolewa kwenda bado dunia inahitaji kukaa kutumia akili nyingi kujifunza kwa USA. USA ukiachana na machuma chuma ya nyuklia Wana silaha nyingine Kama Twitter, Facebook, Google, Maps, Instagram, YouTube, Wikipedia, Android, window, Symbian, iPhone, IOS,Atm, Visa card, Master card, internet, Shazam, Chanjo za binadamu Kama za ARV, Kifua kikuuu, pepopunda na madawa mengine iyo ni silaha kubwa. Izo zote ni silaha kubwa kwa American kuweza kuiangamiza dunia nzima ni muda tuuu. Unamkuta Ayatollah khamenei nae anatumia ivyo vitu kwa nn? America asikujue nje ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app