dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Tobaa kumbe Jenerali Qassem aliyeogopwa kote Iran kama komandoo hatari sana kauliwa na teenegers? Al-Baghdad walimsakizia mbwa tu akamaliza kazi kule shimoni. Kweli aliyetangulia katangulia.Ivi wale watoto waliokuwa wanatoka North Carolina katika kikosi Cha special force kiitwacho Frog Bragg uliwaona lakini wameenda wamemuua kizembe sana Qaseem Suleyman. Ameuliwa na vijana wa umri wa miaka 25 kushuka chini ni aibu Sana kwa utawala wa akina Ayatollah khamenei. Na kile kikosi na wadada walikuwepo. Aliyekutangulia muheshimu usipambane nae. Na wale watoto ingetokea wakamdaka Ayatollah khamenei na kuondoka nae wairan wangelia Sana, wangeenda kila kona kuomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app