Iran Inachekesha sana /hatuiwezi USA tutamshtaki kimataifa

Tobaa kumbe Jenerali Qassem aliyeogopwa kote Iran kama komandoo hatari sana kauliwa na teenegers? Al-Baghdad walimsakizia mbwa tu akamaliza kazi kule shimoni. Kweli aliyetangulia katangulia.
 
Tobaa kumbe Jenerali Qassem aliyeogopwa kote Iran kama komandoo hatari sana kauliwa na teenegers? Al-Baghdad walimsakizia mbwa tu akamaliza kazi kule shimoni. Kweli aliyetangulia katangulia.
Ile drone ya wamarekani ilishushwa na vijana wa iran wanaofanya internship tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WaIran wanachekesha sana, bora ata OSAMA alisumbua kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo hivi we umemsikia nani anayeongea hayo? Ni waziri wa mambo ya nje huyo ni mwanasiasa lazima aongee vile. We tuliza ball wakuu wamajeshi wa Iran wanasema lazima USA watakimbia tu hapo Iraq mbona unaharaka kama mtu anayetaka kuharisha.
Usidanganyike!!

Iran ina nguvu za kijeshi na ina silaha nyingi kubwa lakini siyo za kupigana na US. Sadam alikusanya silaha kwa miaka mingi lakini US ilipoivamia Iraq, hakuna silaha kubwa hata 1 iliyotumika.

Hakuna wa kupigana na US kqa sasa. Wenye uwezo wa kupigana naye, wapo upande wake.

Mnaofikiria kuwa Iran au North Korea itaanzisha vita dhidi ya US, mtasubiri sana, wala haitatokea. US kwa kufanya tendo hilo, ni lazima wamefanya uchunguzi wa kutosha, na kujiandaa kwa possibilities zote. Na Iran ikithubutu kujibu, kitakachofuatia, haitakuwa kamanda wa Jeshi, itakuwa ni Rais wa Iran, na Iran inajua.

Kama Jenerali anaweza kuondoshwa kiurahisi hivyo, nani tena yupo salama nchini Iran?
 
dogo aliyemua Qaseem Suleiman c watoto kama unavyodhani ni drone mbili kumbuka c drone moja ni mbili😂😂 Afu naona marekani waliona watumia missile c risasi sababu risasi inauwa watoto kama wewe c Mageneral wa Iran.
 
dogo aliyemua Qaseem Suleiman c watoto kama unavyodhani ni drone mbili kumbuka c drone moja ni mbili😂😂 Afu naona marekani waliona watumia missile c risasi sababu risasi inauwa watoto kama wewe c Mageneral wa Iran.
Hivi kumbe kuna watu wapo na Marekani? Wabongo bwana
 
Iran akili kubwa mkuu....[emoji23][emoji23]nyuma ya pazia ya kauli hiyo inamaana kubwa...Iran Ni bingwa wa propaganda kimataifa na ndo maana Us anakosaga uungwaji mkono kimataifa anapotakaga kumshambulia Iran..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina shangaza mtu kutoka nchi ya bara la giza kushabikia vita kati ya Iran na marekani bila kujua vinaweza kuyafanya maisha ya raia wa taifa lake kuwa magumu na yasiyo himilika.
Hivi unapo shabikia vita kama hivyo kutokea umesha jiuliza maisha ya raia wa taifa lako linalo nuka umasikini yatakuwaje pale bei ya mafuta itakapo panda na kufikia sh6000 kwa lita moja?
Ndugu ni kuomba Iran ilipotezee tu kama ambavyo marekani amekuwa akipotezea Kuangushwà kwa ndege zake, ikitokea iran ikalipiza kwa kuishambulia marekani moja kwa moja kutaibuka vita kubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kumalizika kwa vita ya dunia na ambavyo kwakweli wenda visidhibike kabisa.
 
Hao ndio wana siasa sio Kabudi Uyo!
 
Natamani amfanyie na Russia hivyo tujione Father of All Bombs ikiingia kazini pale Washngton,huku mashoga wa ki-US wakiwa hawajavaa zile pedi za wazee.




Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Russia hayupo vizuri ukimlinganisha na USA. Marekani ukiachana na machuma chuma ya nyuklia na mengineyo ana silaha nyingine ni pamoja na Twitter, Facebook, Google, Maps, satellites, Instagram, YouTube, 4G, iPhone, Android, Window, Symbian, Vaccines zote walizosambaza dunia nzima (Chanjo), Shazam, Wikipedia na internet. Izo ni silaha ambazo wakitaka kuwaua warusi na Chinese. We want Giant America great again

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa Russia ni sawa na uchumi wa Calfonia pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…