Iran Inachekesha sana /hatuiwezi USA tutamshtaki kimataifa

Ujue Wairan sio waarabu....hawa jamaa ni waajaemi....


Waajemi kihstoria waliitawala Dunia .....



Trump kamuua Soleiman Kisiasa , kwa ufupi ataka kupindua meza ya impeachment ...



Mtoa Mada, Amini nakuambia , IRAN LAZIMA WALIPIZE KISASI .
 
Sasa hivi inatakiwa wamuandame Hassan Nasrallah na kumdungua.Huyo akiondolewa mashariki ya kati itakuwa na amani.Na hilo jamaa lioga kweli linajificha kwenye mashimo miaka yote!
 
Kwan Huyo Jenerali Aliondoshwa Akiwa Wapi akiwa IRAN Ama Akiwa Wapi ?!

Unahisi Huyo Jenerali Kuuliwa Akiwa IRAQ Nijambo Lakushangaza ?!

Inatakiwa Ujiulize Licha Ya US Kuwepo IRAQ Kwa Miaka Kadhaa Huyo Jenerali Kaingiaje IRAQ Na Akafanya Mishen Walosema Imepelekea Fujo Katika Ubaloz Wao US Walikua wapi ?!

Hili Tukio Kama Lingalitokea Ndani Ya IRAN Kwenyewe Hata Mimi Ningetilia Walakini Kwa Kiongozi Aina Ya Soleiman Kuuawa Ila Kwahuko Lilipotokea Sishangai Ijapokua Silifurahii........


IRAN Hajawahi Na Wala Hana Mpango Wakuanzisha Vita Na Taifa Lolote Lile DUNIANI Sio US Tu Hata SAUDIA Hana Mpango Wakuingia Nayo Vitani


IRAN Anachofanya Nikutetea Maslahi Yake Ambayo Nihaki Yakika Taifa

US Ikitokea Akapigana Na IRAN Hakuna Shaka IRAN Anaondoka Na Anaesema Kama IRAN Atashinda Hio Vita Huenda Ikawa Anakosea Sana

Ila Siku Ukiona Ama Kusikia Kama IRAN na US Wameingia Kwa DIRECT War Basi Elewa US Atapoteza Udhibiti Wa Eneo Lamashariki Yakati Lote Na Hilo Eneo Litakua Halikaliki Wala Halipikiki

Na US Ikitokea Kapigana Na IRAN Itakua Vita Kubwa Kuwahi Kutokea Ambayo US Kakumbana Nayo


Kama Unahisi US Anahuo Uwezo Ambao Mnampa Kiasi Chakuibeza IRAN Tusiombe Vita Ila Tunajua Ipo Day Vitatokea Tu Na Tutaona Ama Tutasikia Hatakama Tutakua 2shakufa


US Akiingia Vitani Na IRAN Nolonger Super Power

IRAN Usiifananishe Na IRAQ Ambayo Hao Hao Walompa Misaada Ya Kisilaha Ndio Walikuja Wakamgeuka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani hawataki Kumuua [emoji3] Ila Wanashindwa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni suala la muda tu atauwawa.Aliuwawa mwenzake Imad Munghniyer gaidi mbobezi.Na huyo Qasem Soleiman ni boss wa Nasrallah .Ndio aliokuwa akimpa maagizo yote na hata kuwalipa Hezbollah akiwemo Nasrallah!
 
Uchumi wa Russia ni sawa na uchumi wa Calfonia pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Mkuuu. USA ni giant eagle. Hakuna taifa lolote dunia linaloweza pambana nae meja jeneral Qassem Soleiman ameuwawa na watoto teenagers chini ya miaka 25 Ndio waliompelekea Moto akafa watoto wametoka North Carolina katika kikosi Cha special forces Cha Frog Bragg apo bado wale vijana waliopo kule kwy kambi za Alaska kwy Barafu hawajatolewa kwenda bado dunia inahitaji kukaa kutumia akili nyingi kujifunza kwa USA. USA ukiachana na machuma chuma ya nyuklia Wana silaha nyingine Kama Twitter, Facebook, Google, Maps, Instagram, YouTube, Wikipedia, Android, window, Symbian, iPhone, IOS,Atm, Visa card, Master card, internet, Shazam, Chanjo za binadamu Kama za ARV, Kifua kikuuu, pepopunda na madawa mengine iyo ni silaha kubwa. Izo zote ni silaha kubwa kwa American kuweza kuiangamiza dunia nzima ni muda tuuu. Unamkuta Ayatollah khamenei nae anatumia ivyo vitu kwa nn? America asikujue nje ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, naipenda sana hiyo statement. " Shambulio limefanyika kwa amri ya Rais Trump" Ina maana na haya yanayofanyika huku kwetu inakua ni maagizo ya Rais au?
fafanua hapo kwenye suala la uchaguzi maana trump mwenyewe anatumia tukio lile kama mtaji wa kisiasa leo Bloomberg TV walikuwa kila wakisoma updates za ile habari lazima waseme ‘shambulizi limetekelezwa kwa maagizo ya rais donald trump’

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uoga wewe, bei ya mafuta upangwa kwenye soko la dunia. Mbona Kuwait ilipigwa, ikapigwa Iraq kuna bei ya mafuta ilipanda? Umesahau juzi tu, visima vya Saudia vililipuliwa na huyo General wa Iran, bei ya mafuta ilipanda?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako tu. Vita ya USA na IRAN ndio itakayochukua muda mfupi kuliko vita vyote duniani. Hata ile ya Israel na mataifa 7 ya kiarabu itakuwa ndefu.
Pili nikuhakikishie kuwa Israel ndio atakepigana hivyo vita sio USA. Kazi ya USA ni kuvifadhiri tu kwa hali na Mali, ina maana siraha za aina zote. Saudi itakuwa kulisha na kulipa posho za Askari wote, Kuwait na Bahrain itakuwa kuingiza tu hela kwenye bajeti ya taifa zima la Israel. Wewe usiombe itakuwa vita tamu kuliko zote, Ila naumia kwakuwa itakuwa ya muda mfupi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajuwa unacho kiongea au unaongea tu kujifurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…