Iran Inachekesha sana /hatuiwezi USA tutamshtaki kimataifa

Ongeza na misosi,maji,nchi washirika nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao hupunguza supply lakini nchi kubwa kama USA hutumia oil reserves zao kucover deficit na mwisho wa siku hali huwa normal.Wakati mwingine siyo nchi zote za OPEC huafiki kupunguza supply,nyingine huwa upande wa pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA hawezi kuruhusu Israel apigane na Iran ili nchi za kiarabu zikaja zikajitoa upande wa washirika.Itapiganwa kama ile ya Kuwait.Sc ya UN ndo itatoa kibali baada ya kupitia mkataba wa UN hasa ibara za 39,41,42 pamoja na ibara ya 2(4).Iran atakuwa amekiuka ibara hyo 2(4) kwa hivyo collective self defense itatumika kumpa discipline Iran na atabaki peke yake.Dunia ukishaweka misingi namna ya kuzuia vita zisizo za lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda utwambie we we.Halafu hao unaowaleta sioni lolote walilolifanya LA kuidhuru USA.Taleban walifurushwa wakaushia Tolabora na alqaida ikasambaratishwa. Kuondoka Vietnam kulichangiwa na mambo kadhaa yaliyojitokeza ndani na nje ya USA na Urusi.Kuna kupungua uhasama baina yao tunaita detente ,migogoro wakati wa Nixon na kwamba vita haikuwa na na maslahi pamoja na kukomaa kwa UN hasa kuheshimu mipaka na Uhuru wa nchi nyingine pamoja na haki xa binadamu vinginevyo historia ingechukua mkondo tofauti.
Uchumi Wa Taleban Sawa Sawa Najimbo Gani [emoji23][emoji23][emoji23]

Uchumi Wa Vietnam Ulikua Sawa Na Bara Gani ?! [emoji14][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ikitokea itakuwa kati ya washirika watskaoongozwa na USA dhidi ya Iran atakayeungwa mkono na makundi kadhaa na wanaojitolea.Nchi jiran na Iran zitotoa operation base kwa washirika.Iran siyo mjinga hawezi kuanzisha vita anayojua atapoteza,anatumia gia kama ya kiduku ili apate nusu mkate.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran usifikiri wataacha hii kitu ipite kimya.
Trump atajuta na itakuwa sababu ya Trump kushindwa uchaguzi.
Nyie changieni mambo ya udaku haya mambo ya kimataifa hamuyawezi. Hujui hata the way American political trajectory is currently going.
 
Ni suala la muda tu atauwawa.Aliuwawa mwenzake Imad Munghniyer gaidi mbobezi.Na huyo Qasem Soleiman ni boss wa Nasrallah .Ndio aliokuwa akimpa maagizo yote na hata kuwalipa Hezbollah akiwemo Nasrallah!
Wakat Ukingojea Huo Muda Wao Wanamambo Yao Kibao Wanayatekeleza Nayanakamilika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaekwambia kama kuna vita ya IRAN na US Anakudanganya Mnooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehr Wakat wanaingia vitani walikua hawajui kama vita haikua na maslahi ?!

Takeban hawa hawa wanao fanya nao mazungumzo ama hao wengne !?..

Alqaeda niwao wenyewe wasikusumbue kama walivyo kwa kina isis

Haya twende na hili lakumtoa madarakani al assad kama walivyofanya kwa LIBYA

Twende pale YEMEN Ambao IRAN Wamemtoa Muitifaki Wao Ambae Wao Wanataka Kumrejesha...??!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…